Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

Dah ndio shida ya kuwa na watu wanaotumia makalio kufikiria, hivi katika zile sifa za money wao wameangalia durability tu? Huku ni kupeana mizigo isiyokuwa na msingi mifukoni

Mkuu tujiandae kushona suruali zenye mifuko ya canvas, maana ukiwa na 10,000 ya mia 5 mia 5 ni bonge la mzigo! Wao wakubali tu kwamba walichakachuliwa kwenye kutengeneza hizo noti! Watu wetengeneza kwa karatasi za photocopy halafu wanakuja kutudanganya eti zetengenezwa kuwa cotton paper? Hakuna kitu kama hicho! Benno Ndulu naye ni mmoja wa maprof. wajinga!!
 
Thamani ya pesa tanzania inazidi kuporomoka sii muda mrefubBOT watatoa sarafu ya sh 10000

kiukweli sababu walizotoa hawajanishawishi hata kidogo,,,,,,,,nachohisi kutengeneza sarafu n ghal kuliko hio noti....halafu mbona zile noti kabla ya hizi zilikua imara compared na za sas hivi????
maoni yangu warudishe noti za zaman:hail:
 
ImageUploadedByJamiiForums1404829500.580548.jpg
Nyingine hii hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kwa wizara ya fedha kufanya hiv silaumu sn coz kuna mkono dv 5 uko pale! tegemeeni madudu zaidi
 
Back
Top Bottom