Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Dah ndio shida ya kuwa na watu wanaotumia makalio kufikiria, hivi katika zile sifa za money wao wameangalia durability tu? Huku ni kupeana mizigo isiyokuwa na msingi mifukoni
Mkuu tujiandae kushona suruali zenye mifuko ya canvas, maana ukiwa na 10,000 ya mia 5 mia 5 ni bonge la mzigo! Wao wakubali tu kwamba walichakachuliwa kwenye kutengeneza hizo noti! Watu wetengeneza kwa karatasi za photocopy halafu wanakuja kutudanganya eti zetengenezwa kuwa cotton paper? Hakuna kitu kama hicho! Benno Ndulu naye ni mmoja wa maprof. wajinga!!
