Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

Halafu si zitakuwa nzito kubeba aise hela inazidi kishuka thamani yasije yakawa kama ya zimbabwe au kuna hela feki zinaigzwa
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily

Tumekuelewa, ila kumbuka value ya currency kwa nchi ulizotaja zipo "Purposely" kwa ajili ya kusupport "Export". Kwetu hapa Tanzania, si hivyo. Value ya currency inashuka hasa kutokana na "Real Inflation" inayochipua kila siku. Na ndio maana leo tunaambiwa noti ya 500 nayo inachakaa mapema, kutoka ile ya Sh.20, na kesho tutasikia ya 1000, nk.
Hoja yako ni nzuri, lakini kuna cha zaidi ya kuangalia katika hiyo value ya currency kuliko ulivyoweka wewe. Kwa maana yako, ungeweza hata kutuambia kuwa Zimbabwe ilikuwa na uwezo wa kujenga maisha mazuri ya Wananchi wake kwa ile hali waliyokuwa nayo!!
Tchao0o0...
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily

Issue hapa mkuu ni kwanini tuna revalue currency rate yetu. Si kila devaluation au evaluation ya currency rate ni mbaya and vice versa is true. Kuna vitu vingi vya kuangalia. Mfano China wana devalue hela yao against USD sababu kwao ina positive effect. Pitia hii link upate ka-elimu kidogo. http://www.marketoracle.co.uk/Article42894.html
 
Mi naombea watengeneze na sarafu ya sh elfu kumi kabisa
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily

Una maana gani?come clearly!! Percent kubwa ya uchumi wetu ni import export dependant iweje value ya currency yetu isiwe na impact kwa maisha yetu? Hebu tueleze vizuri
 
Hizi nazo karibu zinarudi in the near future

Untitled.png
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily

Valid argument
 
Kibongo bongo kila upande ni majanga
 
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
Kama haya maelezo yako ni ya kweli basi nikubali tu watanzania tuna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya fedha. Kila siku hapa jamvini watu tunajadili kushuka thamani ya shilingi vs USD aisee.
 
Mkuu acha dharau kwa walipa kodi maarufu hapa nchini...eboo!!

hahahaa! ndo hao waliotoa wazo la noti kuwa silver?

na siku wakisema ten thousand iwe single coin utawasifu tu bila reasoning wala questioning?

Bado unaipenda Tanzania kwa moyo wote kweli?
 
Kama haya maelezo yako ni ya kweli basi nikubali tu watanzania tuna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya fedha. Kila siku hapa jamvini watu tunajadili kushuka thamani ya shilingi vs USD aisee.

Watanzania uelewa mdogo sio kwenye maswala ya fedha tu, kila sector, mfano technology watanzania wana uelewa gani??? hata kilimo tu, uti wa mgogo wa taifa bado watu wanasuasua... inatakiwa kuanza reformormation nchi kuanzia chini kabisa from the roots kuja juu. la c hivo ignorance haitokwisha piga ua... Watu sarafu za mia tano wanaona mishe.. South Korea nimetumia sarafu za jero sana tu... watu hawajashtuka kua hamna kitu kinaweza kunyanyua nchi kama AKILI, only bright people can do something... hua napenda kutumia mfano wa S.Korea maana ndo nimeishipo kwa miaka, na sababu walianza umaskini sawa na Tanzania miaka hamsini iliyopita wakati wa korean war... sasa miaka 50 wamekuja kwa speed leo hii wapo developed, hawana njaa wale jamaa na population ni almost sawa na tanzania, nchi yao haina raw materials, msoc 75% wana import, nchi yao ni ndogo pia... yani wana kila sababu ya sisi kua juu yao lakini tuko wapi??
 
Naona imeanza na SHEIKH na sisi Makaffir tunaruhusiwa kutumia, nisije nikakutwa na wafuasi wa Allah nikala kipondo

We pamba.ff tumekuelewa lengo lako ni kuchafua jali ya hewa kwenye huu uzi! Unategemea hali itakuwa njema Faiza Foxy au Kahtaan wakiingia hapa? Tumia vizuri basi hiyo akili yako kidogo ya kwendea chooni iliyobakia?!!!
 
Back
Top Bottom