Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Halafu si zitakuwa nzito kubeba aise hela inazidi kishuka thamani yasije yakawa kama ya zimbabwe au kuna hela feki zinaigzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily

Naona imeanza na SHEIKH na sisi Makaffir tunaruhusiwa kutumia, nisije nikakutwa na wafuasi wa Allah nikala kipondo
umenifanya nicheke maana hapa nina note 9 za mia tano natafakari ingekuwa coin

Kama haya maelezo yako ni ya kweli basi nikubali tu watanzania tuna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya fedha. Kila siku hapa jamvini watu tunajadili kushuka thamani ya shilingi vs USD aisee.Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
Mkuu acha dharau kwa walipa kodi maarufu hapa nchini...eboo!!
Kama haya maelezo yako ni ya kweli basi nikubali tu watanzania tuna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya fedha. Kila siku hapa jamvini watu tunajadili kushuka thamani ya shilingi vs USD aisee.
Tumia zilizoanza na Mwalimu