Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Weka jina lako halisi na picha yako halisi tufahamiane basiii




[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23]
Kwa sasa ni only genius can...
 
Naitwa supermarket a.k.a John cena
-tunaufunga mwaka tukiwa poa kabisa, niwatakie kheri ya skukuu ya Chrismass na Mwaka mpya
1481976345193.jpg
 
Avatar yako inaonyesha hata kama Si wewe Basi jinsia yako ni Female (f). Nkiangalia naona umejiunga Jf juzi kati.

Nahisi unataka picha zetu ili uanze kusaka mume Jf, huku waoaji wapo ila kwa approach hii hupati. Kama vipi just guess, unam PM mtu unasikilizia response yake
 
kwani wewe ni mwalimu wa darasa unataka mambo ya present na absent?
 
Back
Top Bottom