Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

Boss tunaemfanyia kazi ndie kaanzisha huu uzi nini, eti mtunase kiubwete[emoji108][emoji108]
 
Naitwa slandoi lendungu, picha sina camera ya simu yangu ina makengeza hivyo hapigi picha vizuri
 
Weka jina lako halisi na picha yako halisi tufahamiane basiii




[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Utakuwa umetumwa sio bure. Nani kakuambia kwenye virtual world watu wanaenda na sura na majina ya physical world.
 
Imetumwa na hao wanaotaka info za member wa jf wakamshikilia Melo...Ili iweje mkuu au hujui huku tunachat na wakubwa wa nchi so vunga
 
Eliakim Xav
 

Attachments

  • 1482011484282.jpg
    1482011484282.jpg
    32.1 KB · Views: 25
Back
Top Bottom