Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

Hii inaonyesha ni kiasi gani hutumii hata chembe ya ubongo. Ziko media kibao ambazo watu sio incognito. Nenda huko ukakutane na wenzio wenye akili finyu Kama yako.
 
Dah...Tajiri yuko selo kwa kuzuia hilo.... halafu wewe unataka kisimposimpo tu..[emoji13] [emoji13]
 
Aliekutuma mwambie leo tumegoma njoo kivingine labda utafaulu.

Ila mi najitambulisha bila kinyongo. Hua naitwa kisikiji. na avataa unaiona labda kama wewe ni kipofu.
 
Mmmh sio mwendelezo wa task aliyoipanch Max? Mission arboted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…