Haya sasa, watumiaji wa iPhone mnaojisikia, someni hii

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
10,643
Reaction score
12,247
Tafiti: Watu wanaopendelea simu za iPhone ni wanawake wasio na wapenzi kati ya umri wa miaka 18-34 ambao mapato yao ni chini na huwa na elimu ya kiwango cha chini ikilinganishwa na watumiaji wa aina nyingine za simu.

Chanzo:
teknokona #Fahamuzaidi

Wakuu, nimeitoa huko utwitani, je kuna ukweli hapo wandugu?
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂

Noma sana,sijui huu utafiti kwa nini uliwalenga madem tu,ngoja niwachimbe zaidi manake naona hata midume nayo ipo yenye tabia hizo
 
Asanteni sana Mods kwa kukiweka sawa kichwa cha habari cha uzi huu. Poleni sana kwa kazi nzito mnayoifanya.
 
HAPA KAZIN KWANGU KUNA DADA KACHEZA MCHEZO MIEZ 5 HELA KAENDA KUNUNUA IPHONE 6S+ ANA ELIMU YA FORM 4.YAN SIMU HAIPOI MKUU KILA MARA IKO MKONONI DAH..MIE NILIE MZID KDG ELIMU NATUMIA NOKIA TOCHI

Balaa sana hilo mkuu,mi mwenyewe nilishindwa kushangaa kuna kabinti fulani kalikuja job kwangu akijitolea, ana bonge la Iphone,nikabaki kutoa mimacho tu,akilitoa hilo tambo lake kama katoa nini vile anavyojisikia,sasa nilivyoona utafiti huu wa hawa jamaa ndio nikamkumbuka huyo binti.
 
Ma slayqueens wengi wana iPhone, wengi wanaamini kuwa na iphone ni ishara ya kipato kizuri na ujanja.

Wengine wanadhani kuwa na hiyo simu ndio kunawapandisha thamani pia,kumbe masela wengine wanaangalia contents na sio vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…