Haya sasa, watumiaji wa iPhone mnaojisikia, someni hii

Haya sasa, watumiaji wa iPhone mnaojisikia, someni hii

Balaa sana hilo mkuu,mi mwenyewe nilishindwa kushangaa kuna kabinti fulani kalikuja job kwangu akijitolea, ana bonge la Iphone,nikabaki kutoa mimacho tu,akilitoa hilo tambo lake kama katoa nini vile anavyojisikia,sasa nilivyoona utafiti huu wa hawa jamaa ndio nikamkumbuka huyo binti.
ushamba unawasumbua sana aise wachafu aise wanakula hao balaa mimi hapa wapo kama 3 hiv wenyewe wanatembeaga pamoja hahaha dah
 
ushamba unawasumbua sana aise wachafu aise wanakula hao balaa mimi hapa wapo kama 3 hiv wenyewe wanatembeaga pamoja hahaha dah

Hahaaaaaaa,🙌🙌🙌🙌🙌🙌mkuu ujue wanakusikiaaaa
 
nataman iphone zile zingetiwa android pie kudadadekiii sijui kama kuna mtu amenielewa apo
 
Tafiti: Watu wanaopendelea simu za iPhone ni wanawake wasio na wapenzi kati ya umri wa miaka 18-34 ambao mapato yao ni chini na huwa na elimu ya kiwango cha chini ikilinganishwa na watumiaji wa aina nyingine za simu.

Chanzo:
teknokona #Fahamuzaidi

Wakuu, nimeitoa huko utwitani, je kuna ukweli hapo wandugu?
Kuna kadada mtaani hakana Kaz ya kueleweka kana miliki iPhone juzi kaliniomba vocha nikamwambie mshenz mkubwa Kama uliweza kumiliki ya 800k kwann ushindwe kununua vocha ya buku alikaa kimyA hana hamu na mm kabisaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaaaaa,ndio hivyo hivyo vinavyoongelewa kwenye huo utafiti mkuu
 
Siokweli, Mke wangu na Ndugu yangu wakike wote ni waajiriwa tena sehemu nzuri za kazi, Wote wawili wana digree 2 sasa lakini wanatumia Apple... Na wana kipato chakutosha tu.
 
Mchina alipiga hii kampeni, iPhone ikaacha kutumiwa na madon, ikawa wakifika kwenye meza za biashara wanaume wanaweka HUAWEI na brand zingine na siyo iPhone..kuogopa kuonekana ni mademu wasio na ndoa!

Soko la iPhone China lipo chini.

Everyday is Saturday.........................😎
 
Back
Top Bottom