RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
ushamba unawasumbua sana aise wachafu aise wanakula hao balaa mimi hapa wapo kama 3 hiv wenyewe wanatembeaga pamoja hahaha dahBalaa sana hilo mkuu,mi mwenyewe nilishindwa kushangaa kuna kabinti fulani kalikuja job kwangu akijitolea, ana bonge la Iphone,nikabaki kutoa mimacho tu,akilitoa hilo tambo lake kama katoa nini vile anavyojisikia,sasa nilivyoona utafiti huu wa hawa jamaa ndio nikamkumbuka huyo binti.