Haya sio madafu - Kenyan Shilling at 23-week high against dollar

Bei halisi hapo ni Ksh 500 kwakuwa Rais Moi aliondoa sifuri moja kwenye hela yenyu.
Aisee, kuwa serious, sufuri huwa zinaondolewaje kwenye hela? Infact huyo Moi alikuwa chizi kupindukia. Yeye ndiye aliyeshusha thamani ya KES enzi hizo akichapisha noti mpya za kuwagawia wapiga kura kila wakati wa kampeni za uchaguzi.
 
Sasa wewe bichwa maji unafikiri China ni fala kuishusha thamani fedha yake

Sasa nyie mko na viwanda bado shs yenu mnataka iwe juu sana nani atakuja kununua bidhaa zenu
 
Haki kusema ukweli huwa nachanganyikiwa na conversion nikitaka kununua kitu na Danganyikan money
 
Sasa wewe bichwa maji unafikiri China ni fala kuishusha thamani fedha yake

Sasa nyie mko na viwanda bado shs yenu mnataka iwe juu sana nani atakuja kununua bidhaa zenu
Thamani ya KES inaimarika kwasababu ya 'market forces', basi. Usijaribu kutuhadaa kwamba hela yenu ya madafu ni ya ovyo kwasababu mnataka iwe hivyo. Miaka michache iliyopita 1KES ilikuwa 10tzshs, muda sio mrefu utasikia imefika 25tzshs.
 
Hizo hela zenu ovyoo sana, madafu...yaani bora muondoe hiyo sifuri ndio mkipiga kwenye ufisadi iachwe kutajwa trillions, neno trillions kwenye ufisadi linasababisha kiwewe.
Nilikua napata tabu sana kuelewa trillions alizokua anataja CAG wakati aliwaumbua.
 
Hivi hiyo sufuri wataiondowaje wakati hiyo hiyo thamani ya hela yao ya madafu ndio exchange rate ya sasa kwa dollar?
 
Thamani ya KES inaimarika kwasababu ya 'market forces', basi. Usijaribu kutuhadaa kwamba hela yenu ya madafu ni ya ovyo kwasababu mnataka iwe hivyo. Miaka michache iliyopita 1KES ilikuwa 10tzshs, muda sio mrefu utasikia imefika 25tzshs.
Bidhaa zenu hazitanunulika kama mkiendelea na huo ujinga wenu wa kumanipurate data
 
Hehehehe wala sina habari, sijui inawezekana vipi kiuchumi....
Aina tatizo lolote ni saw a sawa na kuandika Tsh1000 chini unaabdika Newtsh100
1000 to 100 yaani inachapwa hela mpya mfano sh1000 ya sasa unapewa sh100 ya hela mpya
 
Uchumi wa makaratasi,1 kenyan shilling = 1.07 japanese yen........yaani kinamba thamani ya shillingi ya kenya ni kubwa kuliko thamani ya yen moja ya kijapan.........
Njoo sasa kwenye uchumi halisi
 
Uchumi wa makaratasi,1 kenyan shilling = 1.07 japanese yen........yaani kinamba thamani ya shillingi ya kenya ni kubwa kuliko thamani ya yen moja ya kijapan.........
Njoo sasa kwenye uchumi halisi

Bora sisi tunawazidi hao Wajapani kwenye thamani ya hela, nyie ndio hovyoo kabisa, hamna chochote, hela madafu, uchumi madafu, bado mnahangaika kwenye LDC maskini wa kutupwa, yaani gesi mnanyonywa hadi mifupa, madini hamna lolote yanaliwa yote, juzi mumevuruga mara Barrick mara Acacia, mara makinikia tukafikiri ndio mtaibuka na kitu cha maana yani hela za kuwatosha kuwatoa kwenye umaskini, mkataba mumeweka wazi hamna chochote humo cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…