Haya sio madafu - Kenyan Shilling at 23-week high against dollar

Haya sio madafu - Kenyan Shilling at 23-week high against dollar

Hiyo ya kuondoa sifuri serikali ya Moi alifanya mwanzoni mwa utawala wake, uchumi ulipozidi kuharibika akachapisha pesa nyingi zaidi. Hata sisi kipindi cha awamu ya pili zilichapishwa sana pesa nyingi sana na hii ilidororesha uchumi wetu. kwetu miaka ya 1983 $1 = Tsh17 ila kwenye 1995 shilingi ikaporomoka mpaka kuwa $1 = Tsh 500.
So unamaanisha kwamba enzi za Kenyatta kulikuwa na noti ya Shilingi elfu kumi ama hoja yako ni nini?
 
Ni wapi nimetaja enzi za Mzee Jomo Kenyatta?
Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu kumi zilikuwa
 
Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu zilikuwa
Miaka minne baada ya Mzee kenyatta afariki mambo mengi yalitokea ikiwa ni pamoja na athari za kuvunjika kwa shirikisho la Afrika mashariki. Pia vita ya Kagera ilizorotesha uchumi wa eneo lote la maziwa makuu. Hivyo mpaka kufika 1982-3 uchumi wa kenya ulikuwa hoi kama ilivyokuwa kwa Tanzania na Uganda.
 
How does this relate to subject of discussion (removal of zero)? In early 1980s, the initial issue of Kenya shilling notes were in the denominations of 5, 10, 20, 50 and 100 shilling (all of them notes?) Coins were issued in the denominations of 5 cents to one shilling. If what you are saying is true, what happened to the 5 cents in circulation and which had value back then? Were they rendered useless? 50 cents, for example, stopped circulating about ten years ago during which they still had value, albeit small (you could still buy something with them). I maybe wrong but I don't remember such a thing happening in Kenya. I haven't even read about it anywhere or heard stories about it
 
Hapo ndo utalia na kusaga meno
Uchumi wa makaratasi,1 kenyan shilling = 1.07 japanese yen........yaani kinamba thamani ya shillingi ya kenya ni kubwa kuliko thamani ya yen moja ya kijapan.........
Njoo sasa kwenye uchumi halisi
 
Thamani ya Pesa pekeyake haimaanishi uchumi mkubwa musipige kerere tu humu kama watoto wakiingia watu wakiona munazozana kwasababu ya thamani ya Pesa mtatolewa akili eg:
Bora sisi tunawazidi hao Wajapani kwenye thamani ya hela, nyie ndio hovyoo kabisa, hamna chochote, hela madafu, uchumi madafu, bado mnahangaika kwenye LDC maskini wa kutupwa, yaani gesi mnanyonywa hadi mifupa, madini hamna lolote yanaliwa yote, juzi mumevuruga mara Barrick mara Acacia, mara makinikia tukafikiri ndio mtaibuka na kitu cha maana yani hela za kuwatosha kuwatoa kwenye umaskini, mkataba mumeweka wazi hamna chochote humo cha maana.
Real ya Oman ukiichenji kwa TSH inakuwa 1R= 5600Tsh tukija kwenye dollar 1d= 2200Tsh haya sasa hawa vijana wa Oman nao wasemaje au kwa akili kama hii munaoionesha hapa jibu lipi hapa kati ya marekani na Oman
 
Bora sisi tunawazidi hao Wajapani kwenye thamani ya hela, nyie ndio hovyoo kabisa, hamna chochote, hela madafu, uchumi madafu, bado mnahangaika kwenye LDC maskini wa kutupwa, yaani gesi mnanyonywa hadi mifupa, madini hamna lolote yanaliwa yote, juzi mumevuruga mara Barrick mara Acacia, mara makinikia tukafikiri ndio mtaibuka na kitu cha maana yani hela za kuwatosha kuwatoa kwenye umaskini, mkataba mumeweka wazi hamna chochote humo cha maana.
Thamani ya Pesa pekeyake haioneshi uchumi imara Pesa yako inaweza ikawa ina thamani lakini isikutosheleze kutatua matatizo yako mwenzako haina thamani lakini mambo yake yanaenda sasa hapo bora nini
 
Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu kumi zilikuwa
Wenae kwani kuondoa sifuri moja lazima kuwe na noti ya sh 10000 !!!? Kwani kukiwa na noti ya sh 1000 uwezi kuondoa sifuri ? Pia swala la sifuri ni kurahisisha tu unaweza kuondoa hata sh 350 au sh 600 au sh 250 mfano tz tunaweza kuondoa sh 500 kwenye sh 800
 
Kwhyo sai hakuna noti ya 1000 kenya?
 
Thamani ya Pesa pekeyake haimaanishi uchumi mkubwa musipige kerere tu humu kama watoto wakiingia watu wakiona munazozana kwasababu ya thamani ya Pesa mtatolewa akili eg: Real ya Oman ukiichenji kwa TSH inakuwa 1R= 5600Tsh tukija kwenye dollar 1d= 2200Tsh haya sasa hawa vijana wa Oman nao wasemaje au kwa akili kama hii munaoionesha hapa jibu lipi hapa kati ya marekani na Oman
Mmarekani akifika oman kufanya kazi hujitapa...

Nchi za waarabu zenye wadhfa zinalipa hela ndefu bana, usizilinganishe na marekani kabisa katika quality of life
 
Huyo mkenya anabugia tu vinyaji Kwa raha zake mambo ya kibera kayasahau
Ukienda mwembe tayari pale coast bus utakuta vijana wakitanzania wakipiga debe...
Huzamia na zile costa za tanga
 
Ndipo nikakwambia ksh 50 kwetu ni hela ndogo sana...
Ni sawa na $1000 marekani ni hela ya rent tu lkn $1000 kenya ni hela ya maana sana sawa na ksh 100,000...
Unalipa rent
Karo
Chakula
Na unabaki na change...

Bado hujaelewa[emoji848]
Mjomba unajua maana ya uwiano ? Uwiano nikama kusema pai ni 22/7
 
Siyo lazima kuwe na noti ya sh1000 au sh10000 nyinyi ni vilaza maanaya kuondoa sifuri moja ni kupunguza 90% na kubaki na 10% ya hela uliyonayo
Kwhyo sai hakuna noti ya 1000 kenya?
 
Siyo lazima kuwe na noti ya sh1000 au sh10000 nyinyi ni vilaza maanaya kuondoa sifuri moja ni kupunguza 90% na kubaki na 10% ya hela uliyonayo
Hakuna siku kenya iliondoa sufuri katika sarafu yake. ingekuwa ni hivo hatungekuwa na coin ya shilingi tano ambayo bado inatumika hadi leo
 
Mmarekani akifika oman kufanya kazi hujitapa...

Nchi za waarabu zenye wadhfa zinalipa hela ndefu bana, usizilinganishe na marekani kabisa katika quality of life

GDP vs citizens welfare.
Kajielimishe hili.
 
Back
Top Bottom