Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
So unamaanisha kwamba enzi za Kenyatta kulikuwa na noti ya Shilingi elfu kumi ama hoja yako ni nini?Hiyo ya kuondoa sifuri serikali ya Moi alifanya mwanzoni mwa utawala wake, uchumi ulipozidi kuharibika akachapisha pesa nyingi zaidi. Hata sisi kipindi cha awamu ya pili zilichapishwa sana pesa nyingi sana na hii ilidororesha uchumi wetu. kwetu miaka ya 1983 $1 = Tsh17 ila kwenye 1995 shilingi ikaporomoka mpaka kuwa $1 = Tsh 500.