Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wewe nimekuambia subiri mwakani juu taona kile tunafanya tz cool downWimbo wa Tuna... Tuta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nimekuambia subiri mwakani juu taona kile tunafanya tz cool downWimbo wa Tuna... Tuta...
Nimetulia mkuu. Nitazidi kusuburia.Wewe nimekuambia subiri mwakani juu taona kile tunafanya tz cool down
Aisee, kuwa serious, sufuri huwa zinaondolewaje kwenye hela? Infact huyo Moi alikuwa chizi kupindukia. Yeye ndiye aliyeshusha thamani ya KES enzi hizo akichapisha noti mpya za kuwagawia wapiga kura kila wakati wa kampeni za uchaguzi.Bei halisi hapo ni Ksh 500 kwakuwa Rais Moi aliondoa sifuri moja kwenye hela yenyu.
Haki kusema ukweli huwa nachanganyikiwa na conversion nikitaka kununua kitu na Danganyikan moneyMagufuli anampango wa kuondoa sifuri moja kwenye hela yetu ili kurahisisha mahesabu maana sifuri ni nyingi hadi zinachanganya mahesabu na kuchosha unapo Fanya mahesabu sijui kwanini bank kuu na wizara ya fedha tz ni goigoi sana ilitakiwa kufuta sifuri moja toka kikwete
S that you talking?Bei halisi hapo ni Ksh 500 kwakuwa Rais Moi aliondoa sifuri moja kwenye hela yenyu.
S that you talking?Bei halisi hapo ni Ksh 500 kwakuwa Rais Moi aliondoa sifuri moja kwenye hela yenyu.
Thamani ya KES inaimarika kwasababu ya 'market forces', basi. Usijaribu kutuhadaa kwamba hela yenu ya madafu ni ya ovyo kwasababu mnataka iwe hivyo. Miaka michache iliyopita 1KES ilikuwa 10tzshs, muda sio mrefu utasikia imefika 25tzshs.Sasa wewe bichwa maji unafikiri China ni fala kuishusha thamani fedha yake
Sasa nyie mko na viwanda bado shs yenu mnataka iwe juu sana nani atakuja kununua bidhaa zenu
Magufuli anampango wa kuondoa sifuri moja kwenye hela yetu ili kurahisisha mahesabu maana sifuri ni nyingi hadi zinachanganya mahesabu na kuchosha unapo Fanya mahesabu sijui kwanini bank kuu na wizara ya fedha tz ni goigoi sana ilitakiwa kufuta sifuri moja toka kikwete
Hivi hiyo sufuri wataiondowaje wakati hiyo hiyo thamani ya hela yao ya madafu ndio exchange rate ya sasa kwa dollar?Hizo hela zenu ovyoo sana, madafu...yaani bora muondoe hiyo sifuri ndio mkipiga kwenye ufisadi iachwe kutajwa trillions, neno trillions kwenye ufisadi linasababisha kiwewe.
Nilikua napata tabu sana kuelewa trillions alizokua anataja CAG wakati aliwaumbua.
Wabongo bana. [emoji1] Nangoja kushuhudia utepe ukikatwa kwenye uzinduzi wa kuondoa sufuri kwenye sarafu.Hehehehe wala sina habari, sijui inawezekana vipi kiuchumi....
Bidhaa zenu hazitanunulika kama mkiendelea na huo ujinga wenu wa kumanipurate dataThamani ya KES inaimarika kwasababu ya 'market forces', basi. Usijaribu kutuhadaa kwamba hela yenu ya madafu ni ya ovyo kwasababu mnataka iwe hivyo. Miaka michache iliyopita 1KES ilikuwa 10tzshs, muda sio mrefu utasikia imefika 25tzshs.
Aina tatizo lolote ni saw a sawa na kuandika Tsh1000 chini unaabdika Newtsh100Hehehehe wala sina habari, sijui inawezekana vipi kiuchumi....
Njugu karanga ? What the hell is that ? ,Those are two different thingsSasa Njugu karanga ni shilingi Mia Mbili????
Umechanganyikiwa, ni nani ame'manipurate' data? Hapa tunaongea kuhusu dollar.Bidhaa zenu hazitanunulika kama mkiendelea na huo ujinga wenu wa kumanipurate data
Njugu karanga ? What the hell is that ? ,Those are two different things
The Kenyan shilling strengthened to a 23-week high against the dollar yesterday on the back of inflow from offshore investments in the past week, Reuters data indicated.
The local currency traded at 101.80 units to the greenback as at 1PM, marking the fifth straight day it has strengthened. Bank of Africa (BoA) told its clients in an update to expect the unit could exchange for as high as 101.30.
It said there were inflows from offshore investors buying government debt, meeting demand from importers on Tuesday.
In its weekly report on Monday, the Central Bank of Kenya (CBK) also reported the shilling was appreciating with increased capital inflows.
The unit appreciated to below Sh102 to the dollar most recently on November 11, from an average of 103.19 on the previous day. The strengthening trend has been apparent for the whole of the past week.
“The shilling gained against the dollar on Tuesday, with inflows from offshore investors buying government debt meeting demand from merchandise importers. Expected range today (November 20) is 101.30-102.30,” said BoA.
In the week that ended on November 14, the local currency stood at an average of Sh102.45, higher than the Sh103.19 for the week that ended on November 7.
“The Kenya shilling strengthened against major international and regional currencies during the week ending November 14, amid capital inflows,” said the CBK in the report for the week ending last Friday.
The last time the shilling stood at below 101.80 was on June 14 when it averaged Sh101.55 before falling to an average of Sh101.82 the following day.
NCBA Group reported on Tuesday that the market experienced foreign currency inflows at a time of low dollar demand that kept the local currency on a winning streak.
“The shilling continued its winning streak versus the greenback on Tuesday on account of abated dollar demand. Demand for the greenback remained sound through the session but the local unit held its ground steady, supported by foreign currency inflows from various sectors of the economy,” said NCBA in its market update.
The bank forecast the shilling to remain within the currency range as long as fundamentals did not change. “Looking ahead (starting November 20), we see shilling trading within the current ranges in the absence of new fundamentals to provide price direction to the local unit,” said NCBA.
Source: Business Daily Africa
Uchumi wa makaratasi,1 kenyan shilling = 1.07 japanese yen........yaani kinamba thamani ya shillingi ya kenya ni kubwa kuliko thamani ya yen moja ya kijapan.........
Njoo sasa kwenye uchumi halisi