Haya sio madafu - Kenyan Shilling at 23-week high against dollar

S that you talking?
Acha hasira bwamdogo kwa kutoijua vizuri nchi yako.
Hivi hiyo sufuri wataiondowaje wakati hiyo hiyo thamani ya hela yao ya madafu ndio exchange rate ya sasa kwa dollar?
Benki kuu duniani huwa zinapunguza sifuri ili kufanya transaction iwe rahisi pale kunapokuwa na inflation kubwa. Badala ya kuwa na manoti mengi unakuwa nazo chache (kama nyinyi mlivyofanya 80's).

Nchi zingine zilizofanya hivi ni pamoja na Ujerumani baada ya ww II, Nigeria – “dropping two zeros”, Turkey – “drops six zeros” Venezuela – “dropping off three zeros”, Iran – “remove three zeros”, Zimbabwe – “removing 10 zeros”, Romania – “slashing four zeros” na Russia – “removing three zeroes”
Aisee, kuwa serious, sufuri huwa zinaondolewaje kwenye hela? Infact huyo Moi alikuwa chizi kupindukia. Yeye ndiye aliyeshusha thamani ya KES enzi hizo akichapisha noti mpya za kuwagawia wapiga kura kila wakati wa kampeni za uchaguzi.
Kumbe unafahamu kilichotokea, waelimishe ndugu zako basi...uchumi wenu ulipoporomoka sana miaka ya '80 - '83, Moi akachapisha noti mpya ila akapunguza sifuri moja (Ksh 50 ikawa Ksh 5 na Ksh20 ikawa Ksh 2).
 
Acha kujitia hamnazo boss, kuchapisha noti kwa wingi kama Moi alivokuwa anafanya huwa inashusha thamani ya hela kama walivofanya kule Zimbambwe. Kiuhalisia, alichofanya Moi kwa umbumbumbu wake ni sawa na kuongeza sufuri.
 
Bei halisi hapo ni Ksh 500 kwakuwa Rais Moi aliondoa sifuri moja kwenye hela yenyu.
We unaongea nn wakati tangu uzaliwe hujawai tumi 10, 20 na 50 cents za kitanzania...
Tsh 1 yenywe sijui km umeshawai itumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sh 50 ya Kenya sawa sawa na tsh1200 kweli Kenya vitu bei juu
Vitu bei juu kw mtanzania, lkn kenya vitu vya shilingi hamsini viki kushinda watu watakushangaa sana...
Hamsini ni hela gani, si hela ya vocha tu kw watoto wa shule
 
Aisee, kuwa serious, sufuri huwa zinaondolewaje kwenye hela? Infact huyo Moi alikuwa chizi kupindukia. Yeye ndiye aliyeshusha thamani ya KES enzi hizo akichapisha noti mpya za kuwagawia wapiga kura kila wakati wa kampeni za uchaguzi.
LOL eti sifuri zinaondolowaje?
Kawaulize Zambia na sasa Zimbabwe wamefanya hivyo
 
Mkiondoa zero itabaki tsh 90
 
Mkiondoa zero itabaki tsh 90
 
Thamani ya KES inaimarika kwasababu ya 'market forces', basi. Usijaribu kutuhadaa kwamba hela yenu ya madafu ni ya ovyo kwasababu mnataka iwe hivyo. Miaka michache iliyopita 1KES ilikuwa 10tzshs, muda sio mrefu utasikia imefika 25tzshs.
LOL Tanzania pesa yake ina nguvu ndio maana kitu kinachouzwa Kenya sh 100 Tanzania kinauzwa sh 50
 
Vitu bei juu kw mtanzania, lkn kenya vitu vya shilingi hamsini viki kushinda watu watakushangaa sana...
Hamsini ni hela gani, si hela ya vocha tu kw watoto wa shule
Kichwa chako kigumu hapo naongelea uwiano wa kifedha
Ksh50 Kwa Tsh950 wakati
Ksh50 = Tsh 1200
Hapo huoni tatizo la pachesezi pawaaa
 
Kichwa chako kigumu hapo naongelea uwiano wa kifedha
Ksh50 Kwa Tsh950 wakati
Ksh50 = Tsh 1200
Hapo huoni tatizo la pachesezi pawaaa
Ndipo nikakwambia ksh 50 kwetu ni hela ndogo sana...
Ni sawa na $1000 marekani ni hela ya rent tu lkn $1000 kenya ni hela ya maana sana sawa na ksh 100,000...
Unalipa rent
Karo
Chakula
Na unabaki na change...

Bado hujaelewa[emoji848]
 
Siyo tatizo kidogo mzigo unapungua hata watu wa bank watapata wepesi na calculator zita pumua Kwa kubonyezwa masifuri hadi zina bomoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]madhara ya ujamaa katika nchi maskini
 
Acha kujitia hamnazo boss, kuchapisha noti kwa wingi kama Moi alivokuwa anafanya huwa inashusha thamani ya hela kama walivofanya kule Zimbambwe. Kiuhalisia, alichofanya Moi kwa umbumbumbu wake ni sawa na kuongeza sufuri.
Hiyo ya kuondoa sifuri serikali ya Moi alifanya mwanzoni mwa utawala wake, uchumi ulipozidi kuharibika akachapisha pesa nyingi zaidi. Hata sisi kipindi cha awamu ya pili zilichapishwa pesa nyingi sana na hii ilidororesha uchumi wetu. kwetu miaka ya 1983 $1 = Tsh17 ila kwenye 1995 shilingi ikaporomoka mpaka kuwa $1 = Tsh 500.
 
Mkiondoa zero itabaki tsh 90
Usiangalie tarakimu (90/-) bali thamani ya bidhaa itakayoweza nunua.
We unaongea nn wakati tangu uzaliwe hujawai tumi 10, 20 na 50 cents za kitanzania...
Tsh 1 yenywe sijui km umeshawai itumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unauhakika gani kuwa sikuwahi kuitumia thumuni kununulia peremende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…