Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Acha hasira bwamdogo kwa kutoijua vizuri nchi yako.S that you talking?
Benki kuu duniani huwa zinapunguza sifuri ili kufanya transaction iwe rahisi pale kunapokuwa na inflation kubwa. Badala ya kuwa na manoti mengi unakuwa nazo chache (kama nyinyi mlivyofanya 80's).Hivi hiyo sufuri wataiondowaje wakati hiyo hiyo thamani ya hela yao ya madafu ndio exchange rate ya sasa kwa dollar?
Nchi zingine zilizofanya hivi ni pamoja na Ujerumani baada ya ww II, Nigeria – “dropping two zeros”, Turkey – “drops six zeros” Venezuela – “dropping off three zeros”, Iran – “remove three zeros”, Zimbabwe – “removing 10 zeros”, Romania – “slashing four zeros” na Russia – “removing three zeroes”
Kumbe unafahamu kilichotokea, waelimishe ndugu zako basi...uchumi wenu ulipoporomoka sana miaka ya '80 - '83, Moi akachapisha noti mpya ila akapunguza sifuri moja (Ksh 50 ikawa Ksh 5 na Ksh20 ikawa Ksh 2).Aisee, kuwa serious, sufuri huwa zinaondolewaje kwenye hela? Infact huyo Moi alikuwa chizi kupindukia. Yeye ndiye aliyeshusha thamani ya KES enzi hizo akichapisha noti mpya za kuwagawia wapiga kura kila wakati wa kampeni za uchaguzi.