So unamaanisha kwamba enzi za Kenyatta kulikuwa na noti ya Shilingi elfu kumi ama hoja yako ni nini?Hiyo ya kuondoa sifuri serikali ya Moi alifanya mwanzoni mwa utawala wake, uchumi ulipozidi kuharibika akachapisha pesa nyingi zaidi. Hata sisi kipindi cha awamu ya pili zilichapishwa sana pesa nyingi sana na hii ilidororesha uchumi wetu. kwetu miaka ya 1983 $1 = Tsh17 ila kwenye 1995 shilingi ikaporomoka mpaka kuwa $1 = Tsh 500.
Ni wapi nimetaja enzi za Mzee Jomo Kenyatta?So unamaanisha kwamba enzi za Kenyatta kulikuwa na noti ya Shilingi elfu kumi ama hoja yako ni nini?
Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu kumi zilikuwaNi wapi nimetaja enzi za Mzee Jomo Kenyatta?
Miaka minne baada ya Mzee kenyatta afariki mambo mengi yalitokea ikiwa ni pamoja na athari za kuvunjika kwa shirikisho la Afrika mashariki. Pia vita ya Kagera ilizorotesha uchumi wa eneo lote la maziwa makuu. Hivyo mpaka kufika 1982-3 uchumi wa kenya ulikuwa hoi kama ilivyokuwa kwa Tanzania na Uganda.Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu zilikuwa
How does this relate to subject of discussion (removal of zero)? In early 1980s, the initial issue of Kenya shilling notes were in the denominations of 5, 10, 20, 50 and 100 shilling (all of them notes?) Coins were issued in the denominations of 5 cents to one shilling. If what you are saying is true, what happened to the 5 cents in circulation and which had value back then? Were they rendered useless? 50 cents, for example, stopped circulating about ten years ago during which they still had value, albeit small (you could still buy something with them). I maybe wrong but I don't remember such a thing happening in Kenya. I haven't even read about it anywhere or heard stories about itMiaka minne baada ya Mzee kenyatta afariki mambo mengi yalitokea ikiwa ni pamoja na athari za kuvunjika kwa shirikisho la Afrika mashariki. Pia vita ya Kagera ilizorotesha uchumi wa eneo lote la maziwa makuu. Hivyo mpaka kufika 1982-3 uchumi wa kenya ulikuwa hoi kama ilivyokuwa kwa Tanzania na Uganda.
Uchumi wa makaratasi,1 kenyan shilling = 1.07 japanese yen........yaani kinamba thamani ya shillingi ya kenya ni kubwa kuliko thamani ya yen moja ya kijapan.........
Njoo sasa kwenye uchumi halisi
Real ya Oman ukiichenji kwa TSH inakuwa 1R= 5600Tsh tukija kwenye dollar 1d= 2200Tsh haya sasa hawa vijana wa Oman nao wasemaje au kwa akili kama hii munaoionesha hapa jibu lipi hapa kati ya marekani na OmanBora sisi tunawazidi hao Wajapani kwenye thamani ya hela, nyie ndio hovyoo kabisa, hamna chochote, hela madafu, uchumi madafu, bado mnahangaika kwenye LDC maskini wa kutupwa, yaani gesi mnanyonywa hadi mifupa, madini hamna lolote yanaliwa yote, juzi mumevuruga mara Barrick mara Acacia, mara makinikia tukafikiri ndio mtaibuka na kitu cha maana yani hela za kuwatosha kuwatoa kwenye umaskini, mkataba mumeweka wazi hamna chochote humo cha maana.
Thamani ya Pesa pekeyake haioneshi uchumi imara Pesa yako inaweza ikawa ina thamani lakini isikutosheleze kutatua matatizo yako mwenzako haina thamani lakini mambo yake yanaenda sasa hapo bora niniBora sisi tunawazidi hao Wajapani kwenye thamani ya hela, nyie ndio hovyoo kabisa, hamna chochote, hela madafu, uchumi madafu, bado mnahangaika kwenye LDC maskini wa kutupwa, yaani gesi mnanyonywa hadi mifupa, madini hamna lolote yanaliwa yote, juzi mumevuruga mara Barrick mara Acacia, mara makinikia tukafikiri ndio mtaibuka na kitu cha maana yani hela za kuwatosha kuwatoa kwenye umaskini, mkataba mumeweka wazi hamna chochote humo cha maana.
Wenae kwani kuondoa sifuri moja lazima kuwe na noti ya sh 10000 !!!? Kwani kukiwa na noti ya sh 1000 uwezi kuondoa sifuri ? Pia swala la sifuri ni kurahisisha tu unaweza kuondoa hata sh 350 au sh 600 au sh 250 mfano tz tunaweza kuondoa sh 500 kwenye sh 800Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu kumi zilikuwa
Uliitumia mwaka gani?Usiangalie tarakimu (90/-) bali thamani ya bidhaa itakayoweza nunua.
Unauhakika gani kuwa sikuwahi kuitumia thumuni kununulia peremende.
Uchumi ni nn?Hapo ndo utalia na kusaga meno
Kwhyo sai hakuna noti ya 1000 kenya?Wenae kwani kuondoa sifuri moja lazima kuwe na noti ya sh 10000 !!!? Kwani kukiwa na noti ya sh 1000 uwezi kuondoa sifuri ? Pia swala la sifuri ni kurahisisha tu unaweza kuondoa hata sh 350 au sh 600 au sh 250 mfano tz tunaweza kuondoa sh 500 kwenye sh 800
Mkenya kaja Tanzania lol
The living definition of the powerful currency
Mmarekani akifika oman kufanya kazi hujitapa...Thamani ya Pesa pekeyake haimaanishi uchumi mkubwa musipige kerere tu humu kama watoto wakiingia watu wakiona munazozana kwasababu ya thamani ya Pesa mtatolewa akili eg: Real ya Oman ukiichenji kwa TSH inakuwa 1R= 5600Tsh tukija kwenye dollar 1d= 2200Tsh haya sasa hawa vijana wa Oman nao wasemaje au kwa akili kama hii munaoionesha hapa jibu lipi hapa kati ya marekani na Oman
Ukienda mwembe tayari pale coast bus utakuta vijana wakitanzania wakipiga debe...Huyo mkenya anabugia tu vinyaji Kwa raha zake mambo ya kibera kayasahau
Ubepari ndio habari ya mjini...Kweli bana misifuri mingi kama slum za Kenya ili ni tatizo LA ubepari
Mjomba unajua maana ya uwiano ? Uwiano nikama kusema pai ni 22/7Ndipo nikakwambia ksh 50 kwetu ni hela ndogo sana...
Ni sawa na $1000 marekani ni hela ya rent tu lkn $1000 kenya ni hela ya maana sana sawa na ksh 100,000...
Unalipa rent
Karo
Chakula
Na unabaki na change...
Bado hujaelewa[emoji848]
Kwhyo sai hakuna noti ya 1000 kenya?
Hakuna siku kenya iliondoa sufuri katika sarafu yake. ingekuwa ni hivo hatungekuwa na coin ya shilingi tano ambayo bado inatumika hadi leoSiyo lazima kuwe na noti ya sh1000 au sh10000 nyinyi ni vilaza maanaya kuondoa sifuri moja ni kupunguza 90% na kubaki na 10% ya hela uliyonayo
Mmarekani akifika oman kufanya kazi hujitapa...
Nchi za waarabu zenye wadhfa zinalipa hela ndefu bana, usizilinganishe na marekani kabisa katika quality of life