Kwani what does it mean? The highest legal tender we have at the moment is 1,000 shillings note which means that before zero iondolewe, ilikuwa ni thamani ya elfu kumiWenae kwani kuondoa sifuri moja lazima kuwe na noti ya sh 10000 !!!? Kwani kukiwa na noti ya sh 1000 uwezi kuondoa sifuri ? Pia swala la sifuri ni kurahisisha tu unaweza kuondoa hata sh 350 au sh 600 au sh 250 mfano tz tunaweza kuondoa sh 500 kwenye sh 800
Umeitoa wapi hyo elimu kwanza ya kwamba kuondoa sufuri moja ni kupunguza 90% ya na kubaki na 10%[emoji848]Siyo lazima kuwe na noti ya sh1000 au sh10000 nyinyi ni vilaza maanaya kuondoa sifuri moja ni kupunguza 90% na kubaki na 10% ya hela uliyonayo
Wacha kujitapa hapa...GDP vs citizens welfare.
Kajielimishe hili.
Usishangae sana ndugu, just blame it on their education standard. Hata mimi hiyo comment yake imeniwacha na maswali mengi sana!Umeitoa wapi hyo elimu kwanza ya kwamba kuondoa sufuri moja ni kupunguza 90% ya na kubaki na 10%[emoji848]
Ngoja nimsubirie, labda atakuja kutueleza vyemaUsishangae sana ndugu, just blame it on their education standard. Hata mimi hiyo comment yake imeniwacha na maswali mengi sana!
Vileo, michezo ya kamari na sigara ziliongezwa ushuru ili kuzuia watu wengi kuvitumia.
Mkenya kaja Tanzania lol
The living definition of the powerful currency
Hakuna siku kenya iliondoa sufuri katika sarafu yake. ingekuwa ni hivo hatungekuwa na coin ya shilingi tano ambayo bado inatumika hadi leo
Acheni ujinga ukiondoa sifuri maana yake ni hiyo mfano sh100 ukiondoa sifuri moja inabaki sh10 sasa sasa sh10 ni 1/10 = 10% maana yake kuna 90% umeiremove au ukiondoa sifuri kwenye sh10000 unapata sh1000 ambayo ni sawasawa na 1/10 = 10%Usishangae sana ndugu, just blame it on their education standard. Hata mimi hiyo comment yake imeniwacha na maswali mengi sana!
Kumbuka hata wewe ulisema tukiondoa sifuri katika ksh50 Kwa tsh950 inakuwa tsh95 sasa huoni 10%Umeitoa wapi hyo elimu kwanza ya kwamba kuondoa sufuri moja ni kupunguza 90% ya na kubaki na 10%[emoji848]
LOL and foods?Vileo, michezo ya kamari na sigara ziliongezwa ushuru ili kuzuia watu wengi kuvitumia.
Food is a basic need. Huwezi toza ushuru ulio juu wengi watashindwa kununua vyakula.LOL and foods?
Bei ya food tz na Kenya hazijaachanaLOL and foods?
Hakuna principles za kuongeza kodi kwenye bidhaa fulani ili isitumikeFood is a basic need. Huwezi toza ushuru ulio juu wengi watashindwa kununua vyakula.
Cigarettes and Alcohol are luxurious things. Unaweza ishi bila.
leta data sio maneno matupu, of course wakulima wanaomba bei zipande ili wapate maslahi zaidiBei ya food tz na Kenya hazijaachana
Juzi tumeshuhudia bei ya Rice na Unga zikiwa cheap than in TZ,
Na mnalipwa pesa kidogo,mnateseka sana
Dah we jamaa bana. Leta ushahidi kwamba Kenya ilipunguza sufuri kwenye sarafu. Sio unarudia rudia tu hadithi za kujiliwaza ambazo mliambiwa na mababu zenu.Hiyo ya kuondoa sifuri serikali ya Moi alifanya mwanzoni mwa utawala wake, uchumi ulipozidi kuharibika akachapisha pesa nyingi zaidi. Hata sisi kipindi cha awamu ya pili zilichapishwa pesa nyingi sana na hii ilidororesha uchumi wetu. kwetu miaka ya 1983 $1 = Tsh17 ila kwenye 1995 shilingi ikaporomoka mpaka kuwa $1 = Tsh 500.
Achana naye huyo anaruka ruka tu bila formular. Noti ya KES200 ilitolewa mwaka wa 1986, ya 500 mwaka wa 1988. Noti ya 1,000 ambayo ndio noti kubwa Kenya hadi sasa hivi ilitolewa mwaka wa 1994! Moi alipoingia madarakani noti kubwa kabisa ilikuwa ya shilingi 100.Si ni wewe ulisema kwamba Moi ndio aliondowa sufuri moja, meaning that wakati wa Kenyatta noti za elfu kumi zilikuwa
Mmarekani akifika oman kufanya kazi hujitapa...
Nchi za waarabu zenye wadhfa zinalipa hela ndefu bana, usizilinganishe na marekani kabisa katika quality of life
Very stupid guyDah we jamaa bana. Leta ushahidi kwamba Kenya ilipunguza sufuri kwenye sarafu. Sio unarudia rudia hadithi za kujiliwaza mlizoambiwa na mababu zenu.
Wacha kujitapa hapa...
Wakati ukiangalia pande ya kipato kenya tupo juu...
Utalii wa ndani tu umewashinda nynyi kw ajili ya umaskini