Haya sio madafu - Kenyan Shilling at 23-week high against dollar

Ngoja nimsubirie, labda atakuja kutueleza vyema
Jibu swali usibwabwaje maneno yasio na maana kati ya marekani na Oman nani kamzidi mwenzake kwa uchumi au kati ya Oman na China nani yuko juu kwa uchumi ?
 
Jibu swali usibwabwaje maneno yasio na maana kati ya marekani na Oman nani kamzidi mwenzake kwa uchumi au kati ya Oman na China nani yuko juu kwa uchumi ?
Kwhyo mwenzako kauliza hilo swali sio[emoji23][emoji23]
I blame on your education system, unajua kitu gani kwanza kinafanya sarafu iwe juu?
Ukinijibu hapo ndipo tutaelewana vizuri sasa...sio kuongeaga tu
 
Umesahau na wale wanaokufa njaa kule turkana. au wale siyo wakenya?
Kwn unafikiria dunia haiwaoni mnawaona nynyi...hapa tuna deal na numbers, wakenya wamewazidi wa tanzania kw vipato..
Kamwe huwezi ubadilisha huo ukwel, labda tusema watanzania wamewashinda waturkana kw vipato..

60million vs 800,000 people
 
Tunazungumzia thamani ya pesa na uchumi hatuzungumzii ajira kichwa box we mfano huo niliokupa kwahiyo unataka kutuambia omani uchumi wake mkubwa kuliko marekani hilo ndo swal la kujibu
Unajua kwanza ni kitu gani kinaifanya sarafu iwe juu..
 
Hakuna principles za kuongeza kodi kwenye bidhaa fulani ili isitumike

Wangetaka isitumike wangeipiga marufuku kuzalishwa na kuuzwa nchini

Allegations zako ni myopic
Sijasema zisitumike. Usiniweke maneno kinywani, ushuru utaongezwa kwa sigara au vileo ili kupunguza matumizi yake.
Kumbuka uraibu huu huleta madhara ya kiafya kwa mfano uvutaji wa sigara.
Kusema bidhaa hizo zipigwe marufuku viwanda vingi vilivyoajiri watu vitafungwa.
 
Unajua kwanza ni kitu gani kinaifanya sarafu iwe juu..
Hivi we unajua unachojadidi au unaleta ujuaji tu hapa haina haja ya kujua kitu kinachofanya sarafu kuwa juu hapa tunadili na mada husika sasa ukiona umepigwa swal la akili unaleta ujuaji kujibu maswal hutaki tufanye mm cjui kitu kinachofanya sarafu kuwa juu wewe unajua lakini swali ujanijibu bado
 
Mada Pesa kua na thamani ndio uchumi mkubwa kwa uelewa wa wakenya mimi nimejenga hoja kama ndo hivyo bc unataka kutuambia Oman na China Oman uchumi wake mkubwa kuliko China ? Sasa unatakiwa kutoa maelezo ndani ya swali nililokuuliza sio uniulize cjui unajua kinachofanya sarafu kua na thamani hilo ndo jibu, hapa ndo watu wanajua kumbe wakenya sawa na bendera inafata upepo hawawezi kujibu maswali wala kujenga hoja . mimi sijakubishia ila nifafanulie kati ya China na Oman nani mwenye uchumi mkubwa ?
Unajua kwanza ni kitu gani kinaifanya sarafu iwe juu..
 
Umeshindwa kujibu swali sio, na unajua kwnn nchi zenye uchumi mkubwa km china japan sarafu yao ni dhaifu?

Na unajua kwann kuwait sarafu yake ina nguvu zaidi duniani na wakati uchumi wake sio mkubwa duniani?

Ukishajua hyo logic ndio utaachana na elimu ya saint kayumba...
Na tangu mada ianze sijaona mahali mkenya akisema sarfu kuwa ju inamaanisha uchumi nao upo juu mada hapa ni kwnn sarafu yenu inazidi kudorora[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mada hii hapa...ilipowashinda mkaanza kutaja china, japan, oman kw sababu mnataka ku drag mada..

Hapo ukishajua kunaendaje ndipo tutaongelea hzo nchi nyngine..
Mada sijaona mahali pametajwa uchumi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kwn unafikiria dunia haiwaoni mnawaona nynyi...hapa tuna deal na numbers, wakenya wamewazidi wa tanzania kw vipato..
Kamwe huwezi ubadilisha huo ukwel, labda tusema watanzania wamewashinda waturkana kw vipato..

60million vs 800,000 people

Sawa wakenya ni matajiri, hamna wanaopata shida ya baa la njaa, wala ambao wanakaa kwenye slums. I think now you can feel released.
 
Hawa watu serikali yao imewapumbaza uongo miaka mingi sana,
It's high time wafunguke macho,
Kumeza chochote serikali inasema, Wajinga sana
 
Sawa wakenya ni matajiri, hamna wanaopata shida ya baa la njaa, wala ambao wanakaa kwenye slums. I think now you can feel released.
Mbna umekua mnyoge hvo...numbers dont lie bro
 
Cwez kupiga kerere na muhuni wa mitaani mvuta bangi hata hueleweki unachoongea unatatiz la kusahau mada imeanzaje unaongea ujinga tu hapa sifa hii ya mvuta bangi ndo anakua nakawaida ya kuwaza mbele tu nyuma hakumbuki unataka mda wato ukumbushwe bc rudi juu usome mada ilipoanzia
 
Heheeee!!umeandika nini sasa, km ni kuhusu mada nimeshakuletea mpka screenshot ya huu uzi...pitia post#111

Sasa umeamua kuni judge mara hooo bangi, ukwel ni kwamba sarafu yenu inadorora..
Hapa hukwepi mada kabisa, ukitaja japan na uchina unapewa logic kwnn sarafu zao zipo chini...
Tanzania sarafu kuwa chini sio kupenda kwenu, ni kuporomoka
 
Huna hoja brother ukweli ni kwamba Kenya kila kitu ni bei juu


Bei yenu ya Umeme ni mara mbili ya Tanzania unategemea bei ya bidhaa na maisha kwa ujumla viwe sawa na Tanzania?

Halafu punguzeni ubishi wa kitoto kwa kitu ambacho kipo plain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…