Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Jibu swali usibwabwaje maneno yasio na maana kati ya marekani na Oman nani kamzidi mwenzake kwa uchumi au kati ya Oman na China nani yuko juu kwa uchumi ?Ngoja nimsubirie, labda atakuja kutueleza vyema