Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Haya.
Ebanaee Krismasi naenda kukwangua tena ATM na huyu mchuchu na ndo maana anajiweka freshi sasa hivi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya.
Sawa ngoja nipake mpaka yaishe nione inakuwaje yakinipendeza ntapaka haya hayaDada,
Hayo ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na nywele. Ni mafuta bora kuliko mafuta ya aina yoyote unayoyajua chini ya jua kwa ajili ya kuitengeneza ngozi na nywele na ukawa na ngozi inayovutia daima na kila mtu akabaki kuishangaa ngozi yako ilivyo nzuri. Kuhusu kunukia hayo mafuta hayana harufu mbaya, kwahiyo wewe baada ya kupaka hayo mafuta unaweza ukajipulizia perfume ili unukie kama unataka kunukia.
Pia hayo mafuta unaweza ukapikia ni mazuri pia kwa kupikia.
Ila watu wengi wenye ufahamu juu ya mafuta za mizeituni wanatumia kujipaka kwa kupenda kuwa na ngozi Bora na nzuri isiyo na makovu wala chunusi au mabaka mabaka.
Ni mafuta ghari sana kutokana na ubora wake, na kwakuwa ni mafuta ya mmea halisi mzeituni.
Mimi nakushauri penda kutumia mafuta hayo utakuwa mzuri zaidi wa ngozi na mengineyo, hachana na mafuta yote uliyokuwa unayatumia hata lotion.
We jipange mstari tu, kuna mtu kanunua extra virgin olive oil huko.Ebanaee Krismasi naenda kukwangua tena ATM na huyu mchuchu na ndo maana anajiweka freshi sasa hivi...
Hahaha, mara kesi.
Mi nikajua Nyani Ngabu ndo kanunua.
Kumbe na yeye anauliza nani kanunua?
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako, wahenga walisema.Imebidi niulize maana mi sikutuma hizo hela....hahaaa
Sawa ngoja nipake mpaka yaishe nione inakuwaje yakinipendeza ntapaka haya haya
Shamy baybbbbb
We wapange tu. Ndo haki za binadamu zenyewe hizo.Unanichonganisha [emoji23][emoji23]
Mwambie yanarudisha bikra (virginity)Wanasema mafuta mazuri hayo yana virutubisho kama antioxidants vitamin A na E. Ni mazuri hata kupaka usoni.
Hahahaahha
Sipangi mtu ni Ngabu tu pekee
Atm zote au moja tu
Haya, itabidi utoe maelezo ya ziada mafuta kakupa nani.Hahahaahha
Sipangi mtu ni Ngabu tu pekee
Aroo, mi sipangiwi kama Magufuli hvyoo, ningetaka kumwambia ningemwambia.Mwambie yanarudisha bikra (virginity)