Haya sio mafuta ya kupikia kweli?

Haya sio mafuta ya kupikia kweli?

Hii inaitwa mwana ukome, usimuombe tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]
Hahahahaa Unapenda Mafuta au Unapenda harufu!!
 
Dada,
Hayo ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na nywele. Ni mafuta bora kuliko mafuta ya aina yoyote unayoyajua chini ya jua kwa ajili ya kuitengeneza ngozi na nywele na ukawa na ngozi inayovutia daima na kila mtu akabaki kuishangaa ngozi yako ilivyo nzuri. Kuhusu kunukia hayo mafuta hayana harufu mbaya, kwahiyo wewe baada ya kupaka hayo mafuta unaweza ukajipulizia perfume ili unukie kama unataka kunukia.
Pia hayo mafuta unaweza ukapikia ni mazuri pia kwa kupikia.
Ila watu wengi wenye ufahamu juu ya mafuta za mizeituni wanatumia kujipaka kwa kupenda kuwa na ngozi Bora na nzuri isiyo na makovu wala chunusi au mabaka mabaka.
Ni mafuta ghari sana kutokana na ubora wake, na kwakuwa ni mafuta ya mmea halisi mzeituni.
Mimi nakushauri penda kutumia mafuta hayo utakuwa mzuri zaidi wa ngozi na mengineyo, hachana na mafuta yote uliyokuwa unayatumia hata lotion.
Nimeanza ona tofaut ya ngoz yangu, inateleza na nakuwa soft sana, nywele nimepaka mara mbili nikasuka hivyo mrejesho bado, ila nitakuletea mrejesho pia
 
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]
Bia hiyo bana!
 
Back
Top Bottom