makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hii inaitwa mwana ukome, usimuombe tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa Unapenda Mafuta au Unapenda harufu!!Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]
Nimeanza ona tofaut ya ngoz yangu, inateleza na nakuwa soft sana, nywele nimepaka mara mbili nikasuka hivyo mrejesho bado, ila nitakuletea mrejesho piaDada,
Hayo ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na nywele. Ni mafuta bora kuliko mafuta ya aina yoyote unayoyajua chini ya jua kwa ajili ya kuitengeneza ngozi na nywele na ukawa na ngozi inayovutia daima na kila mtu akabaki kuishangaa ngozi yako ilivyo nzuri. Kuhusu kunukia hayo mafuta hayana harufu mbaya, kwahiyo wewe baada ya kupaka hayo mafuta unaweza ukajipulizia perfume ili unukie kama unataka kunukia.
Pia hayo mafuta unaweza ukapikia ni mazuri pia kwa kupikia.
Ila watu wengi wenye ufahamu juu ya mafuta za mizeituni wanatumia kujipaka kwa kupenda kuwa na ngozi Bora na nzuri isiyo na makovu wala chunusi au mabaka mabaka.
Ni mafuta ghari sana kutokana na ubora wake, na kwakuwa ni mafuta ya mmea halisi mzeituni.
Mimi nakushauri penda kutumia mafuta hayo utakuwa mzuri zaidi wa ngozi na mengineyo, hachana na mafuta yote uliyokuwa unayatumia hata lotion.
Bia hiyo bana!Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]