Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Wagombea wanachofanya kabla ya kutoa wanawahonga kwanza takukuru,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Chadema gaweni pikipiki na Bajaj wilayani na walipieni Kodi ofisi za chadema mikoa na wilaya msizile pesa zote makao makuuAcheni wivu na nyie si mgawe au kazi yenu kula michango ya wabunge na ruzuku ya chama [emoji23][emoji23]
Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Msigwa Ni mgombea urais acha uoga
Bado anayo haki kugombea ubunge endapo hatapitishwa kwenye urais.
Hiyo taasisi iko kutumikia siasa chafu, wala usitegemee wachukue hatua yoyote dhidi ya ccm.
Kesi ya Nyani unampelekea Ngedere.
Kwani Msigwa anagombea nafasi mbili huko chadema?
Ndio anafanya hivyo, kama walivyofanya wakina Mwakyembe,Mwigulu,January etc waliogombea urais na Magu mwaka 2015.
Hivi ilikuaje mpaka wakazuia Kule kwa Mr kigwa?
Anaiga trick iliyopitwa na wakati
Tatizo la TAKUKURU ni mtindo wao wa kubagua nani ashughulikiwe na nani aachwe.TAKUKURU NI CHAKA LA RUSHWA MKUU....WANATAFUTA VIDAGAA TUU
Haina haja ya kaficha kwani Takukuru Iringa wameziona Bajaji hizo ambazo zinarangi ya kijani na njano ila hawajazielewaelewa.Mkuu ebu tupia basi angalau kapicha tupate ushahidi
Tatizo lako siasa hauijui bali umedandia tu, vyama vyote huanza na urais kisha baada ya mchujo waliokosa hujitosa kwenye ubunge, hivyo ndivyo ilivyo.Msigwa si anagombea uraisi? kwa hiyo anataka vyote kugombea uraisi na ubunge kwa mpigo? Chadema mna vituko.Nafasi zingine si muachie wengine
Ni kweli,zingine zipo pale Manispaa kwaajili ya kupewa vijana.Lakini tambua Takukuru haipo kwaajili ya kazi hiyo,kazi yao ni kukusanya Pesa kama TRAHii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Unadhani mgombea urais asipopitishwa na chama chake hawezi kugombea ubunge?Msigwa Ni mgombea urais acha uoga
Msigwa si anagombea uraisi? kwa hiyo anataka vyote kugombea uraisi na ubunge kwa mpigo? Chadema mna vituko.Nafasi zingine si muachie wengine