Haya TEC wameshakuja na Tamko leo Jema, je, na Sisi wana JamiiForums Tamko letu litatoka Saa ngapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.

Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys )

Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu ya Sakata zima la Kukataa Ubinafsishwaji wa Bandari yetu kwa DP World.

Nikija ( Log In ) hapa baadae Saa 4 na Nusu Asubuhi naomba nilikute hilo Tamko letu sawa?
 
Lucas mwashambwa njoo huku chawa wa mama a.k.a ChawaWaMama
 
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.

Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys )

Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu ya Sakata zima la Kukataa Ubinafsishwaji wa Bandari yetu kwa DP World.

Nikija ( Log In ) hapa baadae Saa 4 na Nusu Asubuhi naomba nilikute hilo Tamko letu sawa?
Duh😄😄
 
Wakichaguliwa chawa wa mama wakaleta tamko kwa niaba yako na wanajf utaliunga mkono??
Humu JF kuna makundi matatu kuhusu mkataba wa DPW, na yapo kama ifuatavyo;

1. Wanaunga mkono mtaba wa DPW kama uliovyo sasa
2. Wanaopinga mkataba huo
3. Wapo wa I dont care

Sasa, ili kuweka mzani sawa, kila kundi litoe tamko lake, halafu makundi mengine yaweke hoja mezani kwanini wanapinga hoja za makundi mengine..!!

Hii itakuwa tofauti na ilivyo mtaani kwa sasa, wanaopinga wameweka hoja kwa vipengele vibaya vilivyopo kwenye mkataba, LAKINI WANAUONGA MKONO WAO HAWAJADILI VIPENGELE VYA MKATABA, ILA WANANGÁNGÁNA TU KUSEMA WANAOPINGA WANAFANYA HIVYO KWA SABABU RAIS NI MWANAMKE, KWA SABABU RAIS NI MZANZIBARI, KWA SABABU RAIS NI MUISLAMU. ETC.. Binafsi nawaona hawana hoja ila wanajaribu kupindisha mjadala, utoke kwenye kujadili vipengele vyake na uingie kwa kujadili dini za watu, watu hao wanatoka wapi kati ya bara na visiwani na watu hao wana jinsia gani.
 
Kwakweli hoja zijibiwe kwa hoja sio blahblah
 
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.

Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys )

Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu ya Sakata zima la Kukataa Ubinafsishwaji wa Bandari yetu kwa DP World.

Nikija ( Log In ) hapa baadae Saa 4 na Nusu Asubuhi naomba nilikute hilo Tamko letu sawa?
Mimi nasimama na msimamo wa mababa, hawa wanasiasa hawana dhamiri safi, eti jana mzee mmoja anajidai kuongeaongea wakati yeye ndiye anayetusumbua
 
Yule Mzee wa Msoga inabidi atulie kabisa,
Tupo na TEC pamoja.

Serikali itoe tamko kwa nini ndege ya rais iko dubai na inafanya nini...? Kama ni mbovu tuambie au kama inategemewa kwenda matengenezo tuambiwe.
 
Ndege yetu itakua imedakwa aisee
Yule Mzee wa Msoga inabidi atulie kabisa,
Tupo na TEC pamoja.

Serikali itoe tamko kwa nini ndege ya rais iko dubai na inafanya nini...? Kama ni mbovu tuambie au kama inategemewa kwenda matengenezo tuambiw
 
Naunga Mkono TEC kuupinga kabisa mkataba huu.

Bandari wanataka kumpa mwekezaji aendeshe kwa niaba yetu. ila.
1. Mkataba haujaweka mpaka wa utekelezaji umetaja nchi nzima bahari, maziwa yetu yote hadi anga na maeneo ya uwekezaji wenye mahusiano na bandari (mtego siku anaweza kuwazuia msiendelez popote katika nchi yenu au aje kuleta shida tu mkaingia mgogoro na kumlipa)
kumbuka hapa wametaja hata SGR ZETU
2. Mkataba hauoneshi kipengere cha kugawana mapato - (issues za mapato ila kodi tu)
3. Mkataba unakataza kuingiliwa katika kazi (kumbuka pale ni lango la kuingiza vitu vyote nchini i.e magaidi, silaha, madawa ya kulevya n.k) kama sisi haturuhusiwi kuwaingilia ila kuwaunga mkono si nchi inakuwa kama geti limeachwa kwa mgeni?
4. Mkataba unarithiwa na kila atakayekuja kwa lazima hata kama mtaamua kubadilisha chochote wenyewe unasema yeyote atakayekuja atakuwa amesaini mkataba (maana yake ni wa sisi a vizazi vyetu)
5. Mkataba hautambui majanga, hata kama tukiingia vita na hao wanaokuja bado mkataba utaendelea ( yaani ni zaidi ya ndoa ya kikatoliki) hauvunjikii hata kama watatudanganya chochote sisi ni kuwalinda tu
6. Mkataba unakataza kuwekeza kwenye maeneo hayo hadi tuwaulize wao kwanza maanda yake ni kama nchi tumeiuza maana hakuna mwekezaji mwingine anayeweza kutafutwa na Tanzania tena (tukae kimyaa wao wanaendesha si sawa).

KWA KUANZIA NASEA:
1. mKATABA ULITAKIWA UWE NA MUDA MAALUM HATA MIAKA 5RENEWABLE ILI TUONE WANAFANYAJE
2. ULINZI WA ENEO LOTE UWE KWETU.
3. ENEO LA KAZI INGETAJWA BADNARI YA DAR ES SALAAM NA SIYO NCHI NZIMA HADI ANGA
4. MAMBO YA MAJANGA YANGEACHWA KAMA IKITOKEA HAYO YASHUGHULIKIWE KAMA ILIVYO KWA MIKATABA MINGINE
NITAENDELEA.................
 
Back
Top Bottom