GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Lucas mwashambwa njoo huku chawa wa mama a.k.a ChawaWaMamaNinaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys )
Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu ya Sakata zima la Kukataa Ubinafsishwaji wa Bandari yetu kwa DP World.
Nikija ( Log In ) hapa baadae Saa 4 na Nusu Asubuhi naomba nilikute hilo Tamko letu sawa?
Duh😄😄Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.

Bujibuji Simba Nyamaume mhuni kabisa. Mkataba lazima utekelezwe!
Chawa wa mama ni wadudu hatari sanaWakichaguliwa chawa wa mama wakaleta tamko kwa niaba yako na wanajf utaliunga mkono??
Humu JF kuna makundi matatu kuhusu mkataba wa DPW, na yapo kama ifuatavyo;Wakichaguliwa chawa wa mama wakaleta tamko kwa niaba yako na wanajf utaliunga mkono??
Kwakweli hoja zijibiwe kwa hoja sio blahblahHumu JF kuna makundi matatu kuhusu mkataba wa DPW, na yapo kama ifuatavyo;
1. Wanaunga mkono mtaba wa DPW kama uliovyo sasa
2. Wanaopinga mkataba huo
3. Wapo wa I dont care
Sasa, ili kuweka mzani sawa, kila kundi litoe tamko lake, halafu makundi mengine yaweke hoja mezani kwanini wanapinga hoja za makundi mengine..!!
Hii itakuwa tofauti na ilivyo mtaani kwa sasa, wanaopinga wameweka hoja kwa vipengele vibaya vilivyopo kwenye mkataba, LAKINI WANAUONGA MKONO WAO HAWAJADILI VIPENGELE VYA MKATABA, ILA WANANGÁNGÁNA TU KUSEMA WANAOPINGA WANAFANYA HIVYO KWA SABABU RAIS NI MWANAMKE, KWA SABABU RAIS NI MZANZIBARI, KWA SABABU RAIS NI MUISLAMU. ETC.. Binafsi nawaona hawana hoja ila wanajaribu kupindisha mjadala, utoke kwenye kujadili vipengele vyake na uingie kwa kujadili dini za watu, watu hao wanatoka wapi kati ya bara na visiwani na watu hao wana jinsia gani.
Mimi nasimama na msimamo wa mababa, hawa wanasiasa hawana dhamiri safi, eti jana mzee mmoja anajidai kuongeaongea wakati yeye ndiye anayetusumbuaNinaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys )
Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu ya Sakata zima la Kukataa Ubinafsishwaji wa Bandari yetu kwa DP World.
Nikija ( Log In ) hapa baadae Saa 4 na Nusu Asubuhi naomba nilikute hilo Tamko letu sawa?
Karibu sana mkuuNasimama na TEC!
Wamepiga nyundo ya maana spana za kueleweka afu wakakaa kimya.... natamani niwe mkatoliki ila hawachelewi kusema nimepata mchumba huko
Duh!!,Hivi kisa nini?,maana kuna sehemu nimepita asubuhi nikasikia watu wanazungumzia ishu hiyo.Tusisahau kulisemea la ndege ya Rais iliyoshikiliwa Dubai
Yule Mzee wa Msoga inabidi atulie kabisa,Mimi nasimama na msimamo wa mababa, hawa wanasiasa hawana dhamiri safi, eti jana mzee mmoja anajidai kuongeaongea wakati yeye ndiye anayetusumbua
Yule Mzee wa Msoga inabidi atulie kabisa,
Tupo na TEC pamoja.
Serikali itoe tamko kwa nini ndege ya rais iko dubai na inafanya nini...? Kama ni mbovu tuambie au kama inategemewa kwenda matengenezo tuambiw