Haya Wakenya kubadilisha Katiba tena, mpaka kieleweke, Rais Magufuli tafadhali usiguse Katiba yetu!

Huna unalojua zaidi ya kubebwa na siass za kikabila, kwasababu kabila lako ndio linaongoza serikali unatetea kila uvundo wanaofanya
1)Onyesha ni vipi katiba yenu inazingumzia dhuluma ya ardhi, tume mbalimbali zimeundwa ili kuchunguza umilikishwaji wa ardhi kwa wanasiasa lakini mumeshindwa kutekekeza mapendekezo ya tume hizo, soma vitabu vya "This time tomorrow" na "Not yet Uhuru"

2)Eleza vipi katiba yenu imesaidia kupunguza tatizo la tribalism ambalo linazidi kuongezeka siku hadi Siku.

3)Eleza katiba yenu inavyopambana na kupunguza gap la masikini na tajiri, linazidi kuongezeka daily, ninyi mpo busy na kuandika Latina.

4)Eleza mbona unemployment na insecurity hali inazidi kuwa mbaya, miaka nane sasa tangu muandike katiba, but nor improvements, bado mnaendelea kuandika katiba kila siku.

Tatizo kubwa la Kenya hamtumii muda wa kutosha kufikiria mambo yenu, mnakurupuka sana matokeo yake mnapata wrong diagnosis then you end up with wrong prescription, buying wrong medication, you are not cured you go back to the Doctor and circle starts again.
 
Hongera wakenya. Katiba ya Tanzania ni katiba yenye mielekeo ya kidikteta dikteta na ndio maana walioshika madaraka hawataki kusikia habari za kuibadili.

Madaraka makubwa ya Rais, na tume pendelevu ya uchaguzi ndio haswa mzizi wa matatizo yote ya utawala wa sheria nchini.
 
Upinzani wa Tz mna matatizo ya ki akili..2015 mkanunua mafisadi wote CCM na kuwapa uongozi kwa chama chenu. Sasa mlalamika wambuge wenu waliokuwa wasafi wana toroka ufisadi wenu, Hata mkipewa tume ya uchaguzi na imilikiwe na nyinyi wenyewe hamtamtikisa Jiwe.
Very Disorganised
 
Kaombewe utolewe mapepo.
 

Yaani wewe jamaa bwana,so dishonest!

Katiba yetu sio ya kugusa?

Yaani heri mchawi kuliko CCM aisee!
 
Usisumbuke na upinzani wa Tanzania, hawajitambui wala hawajielewi.
 
Kwa hiyo ya Tanzania mmegoma kuibadilisha kwa vile ni bora na inasaidia wananchi?
 
Grow up, go back to my comments and you won't see anywhere that I have mentioned the opposition, neither the ruling party. I was only in discourse with others about the referendum move, you quoted me yourself and went offtopic, as usual. Be original, come up with your demented ideas without involving me in such stupidity that I have no time for.
 
Sindano imeingia vizuri..Kwani siasa za referendum zinafanywa na nani? Jubilee and opposition..You are at denial stage,dont worry you will reach acceptance πŸ˜€
 
Bora wewe umeona hayo, kuna mijitu hapa inaponda shughuli yetu ya kurekebisha katiba yetu huku wakifananisha katiba yetu na upuuzi wao utadhani tuna lolote la kujifunza kutoka kwao. Mimi najua ipo siku mtalazimika kuandika katiba mpya ya Tz na hii mark timing yao inachofanya ni kuwachelewesha tu kwa shughuli ambayo muda wake ulishawadia zamani sana.
 
Kaka katiba ni kitaba ni kitabu tu kama vitabu vingine, Kama no political will ya kukisoma na kiyafanyia kazi kitakuwa hakina maana yoyote ile, ziko nchi nyingi hazina katiba lakini kwasababu viongozi na wananchi wao ni waadilifu, wanapata maendeleo makubwa katika maeneo yote.

Africa na nchi za kiarabu na baadhi ya nchi za Asia, hatuna utamaduni wa kuzifiata na kuzitii katiba za nchi zetu, tunaweza kuandika katiba nzuri sana lakini hatuzifuati, kila mara utasikia turekebishe katiba kwa sababu mbalimbali, kinachotokea Kenya, kimetokea Rwanda, Uganda, Burundi ili kuongeza muda wa marais wao, Kenya mnaelekea hukohuko, hii tabia ya kuchezea katiba hovyo hovyo kama hamkuiandika wenyewe mkushaizoea mtaendelea, mwisho mtakua na rais wa maisha kama Rwanda na Uganda, watch my words.
 
Sindano imeingia vizuri..Kwani siasa za referendum zinafanywa na nani? Jubilee and opposition..You are at denial stage,dont worry you will reach acceptance πŸ˜€
Aiseee! Kama kawa huna hoja. Sindano ipi sasa? Labda sindano ya pumba zako maanake nimeeka wazi kwamba naunga mkono kwa asilimia mia juhudi za serikali, upinzani, civil 'society' na viongozi wa dini kuhusu marekebisho kwenye katiba. Au ulikuwa unaninukuu ovyo ovyo bila kusoma nilichoandika kwenye comment zangu?
 
Wanaopinga Marekebisho ya Katiba ni wanasiasa wajinga-wajinga tu wanaonufaika na Katiba mbovu.

Mwaka 2013-2014 , ambapo, Tanzania tulikuwa tunashughulikia referendum na michakato ya katiba mpya, nilishangazwa na wanasiasa hasa wa upinzani waliokuwa wanatumia majukwaa kujadili mambo yasiyokuwa na tija kabisa, mfano, muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Nilichojifunza ni kuwa, Tanzania tuna wanasiasa mbumbumbu, lakini pia tuna wananchi mbumbumbu zaidi. Hakuna anayefahamu nini kinahitajika ndani ya katiba mpya.

Ndio maana ninafurahishwa na muamko wa wakenya wote kabisa wa kuwa na UFAHAMU wa maswala msingi yanayohitajika ndani ya katiba.

Huku Tanzania, si wanasiasa wala wananchi wanaoifahamu Katiba ya zamani, wala hakuna anayefahamu ni nini kinapaswa kuwepo ndani ya katiba mpya.

Ni wasomi wachache sana wenye ufahamu na mambo ya KATIBA.
 
Sindano imeingia vizuri..Kwani siasa za referendum zinafanywa na nani? Jubilee and opposition..You are at denial stage,dont worry you will reach acceptance πŸ˜€

what about the FOOL-i?????

how the whole world sees this idiot of a president
 
Nadhani muda wa kubadilisha katiba yenu utawadia tu, na hao wanaoiponda katiba ya Kenya watajipata wanapitia pitia kumbukumbu za historia wakijaribu kujifunza mengi kuhusu hatua zilizochukuliwa na wakenya kwenye mchakato wa kupata katiba mpya.Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…