Haya Wakenya kubadilisha Katiba tena, mpaka kieleweke, Rais Magufuli tafadhali usiguse Katiba yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Wanasiasa wa Kenya ambao waliutangazia Ulimwengu kwamba Katiba yao mpya ndo dawa ya matatizo yao yoote na kuisimika kwa mbwembwe nyiiingi huku wakisifiwa kila kona kwa ni Katiba bora siajabu kuliko zote Afrika kama siyo Duniani, sasa miaka michache baadaye Wanasiasa wale wale waliotaka Katiba leo hii wanataka nyingine tena na kuna kila dalili kwamba kura ya maoni itafanikiwa na kuanza mchakato wa Katiba mpya tena, mpaka kieleweke dadadeki, kama hata hiyo isipowaingiza madarakanai wataikataa tena, eti sasa hvi wanataka Cheo cha Waziri mkuu iweje hawakuliona hilo wakati wanaunda hii ya sasa, wakati walisema walishirikisha Wataalamu wa Katiba kutoka Dunia nzima?
 
Mkuu,hapo cha kustaajabisha hakuna. Uzuri na ukamilifu ni tofauti. Hata kama Katiba nzuri,kuifanyia marekebisho ni jambo la msingi. Ni kwakuwa tu haujui,Katiba na Sheria huendana na hali za kimaisha na mazingira. Hali zikibadilika,sheria nazo hubadilishwa.
 
204353F7-7129-401F-A707-7EA6A8B79EFC.jpeg
 
Mkuu,hapo cha kustaajabisha hakuna. Uzuri na ukamilifu ni tofauti. Hata kama Katiba nzuri,kuifanyia marekebisho ni jambo la msingi. Ni kwakuwa tu haujui,Katiba na Sheria huendana na hali za kimaisha na mazingira. Hali zikibadilika,sheria nazo hubadilishwa.

Haya ni matakwa ya Wanasiasa, lengo lao ni kutaka Katiba ambayo itawaingiza madarakani na siyo ya kuwasaidia Wananchi na ndo maana wanataka kuibadilisha, hata hii ya sasa waliipigania kwa lengo hilo sasa imeshindwa kuwaingiza madarakani wanataka kuibadilisha lkn mwisho wa siku mlengwa siyo Mwananchi, hivyo hata hapa TZ haitakuwa na tofauti!
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Wewe Binti jifunze kuandika. Hapa umebwabwaja tu. Hujui alama za uandishi?
 
Haya ni matakwa ya Wanasiasa, lengo lao ni kutaka Katiba ambayo itawaingiza madarakani na siyo ya kuwasaidia Wananchi na ndo maana wanataka kuibadilisha, hata hii ya sasa waliipigania kwa lengo hilo sasa imeshindwa kuwaingiza madarakani wanataka kuibadilisha lkn mwisho wa siku mlengwa siyo Mwananchi, hivyo hata hapa TZ haitakuwa na tofauti!
Si kweli wanataka kupunguza idadi ya MCA Na MP'S wamekuwa wengi mno wapo zaidi ya 400 hao ni wabunge tu mpaka hawajuani acha kupotosha
 
sasa miaka michache baadaye Wanasiasa wale wale waliotaka Katiba leo hii wanataka nyingine tena na kuna kila dalili kwamba kura ya maoni itafanikiwa na kuanza mchakato wa Katiba mpya tena

Ndiyo tafsiri sahihi ya collective leadership and ownership
 
Mkuu,hapo cha kustaajabisha hakuna. Uzuri na ukamilifu ni tofauti. Hata kama Katiba nzuri,kuifanyia marekebisho ni jambo la msingi. Ni kwakuwa tu haujui,Katiba na Sheria huendana na hali za kimaisha na mazingira. Hali zikibadilika,sheria nazo hubadilishwa.
Tunategemea kipindi kirefu kipite kabla ya kubadilisha tena kwa mara nyingine.
 
Wanasiasa wa Kenya ambao waliutangazia Ulimwengu kwamba Katiba yao mpya ndo dawa ya matatizo yao yoote na kuisimika kwa mbwembwe nyiiingi huku wakisifiwa kila kona kwa ni Katiba bora siajabu kuliko zote Afrika kama siyo Duniani, sasa miaka michache baadaye Wanasiasa wale wale waliotaka Katiba leo hii wanataka nyingine tena na kuna kila dalili kwamba kura ya maoni itafanikiwa na kuanza mchakato wa Katiba mpya tena, mpaka kieleweke dadadeki, kama hata hiyo isipowaingiza madarakanai wataikataa tena, eti sasa hvi wanataka Cheo cha Waziri mkuu iweje hawakuliona hilo wakati wanaunda hii ya sasa, wakati walisema walishirikisha Wataalamu wa Katiba kutoka Dunia nzima?
Wanaoamua ni wananchi na siyo wanasiasa. That's how democracy works. If Kenyans say no, there won't be changes. Its all about what majority of Kenyans want and not the minority.
 
Katiba inafanyiwa marekebisho sio kubadilishwa. Baada ya kuikubali katiba mpya hatua zilizofata ni hizi, 'promulgation', 'implementation', na sasa tupo kwenye stage ya kufanya 'ammendments'. Yote haya yameelezwa wazi kwenye katiba yenyewe na yalipangiwa zamani wakati tukiandika katiba mpya. Tulichokuwa tukingoja ni muda muafaka wa kutekeleza. Chama tawala kimekubali, upinzani umekubali, viongozi wa dini wamekubali, mchakato umeanza kwa kasi na maamuzi ya mwisho yatakuwa kwa wananchi.

Katiba sio kitu simpo kama masharti kwenye guest house, wala haijachongwa kwenye jiwe kama alichopokea Musa mlimani. Endelea na longolongo zako, ila kumbuka kwamba tunachokifanya sasa hivi ipo siku na nyinyi pia mtakuja kuiga.
 
Katiba inafanyiwa marekebisho sio kubadilishwa. Baada ya kuikubali katiba mpya hatua zilizofata ni hizi, 'promulgation', 'implementation', na sasa tupo kwenye stage ya kufanya 'ammendments'. Yote haya yameelezwa wazi kwenye katiba yenyewe na yalipangiwa zamani wakati tukiandika katiba mpya. Tulichokuwa tukingoja ni muda muafaka wa kutekeleza. Chama tawala kimekubali, upinzani umekubali, viongozi wa dini wamekubali, mchakato umeanza kwa kasi na maamuzi ya mwisho yatakuwa kwa wananchi. Katiba sio kitu simpo kama masharti kwenye guest house wala haijachongwa kwenye mawe kama alichopokea Musa mlimani. Endelea na longolongo zako ila ukumbuke tunachokifanya sasa hivi pia na nyinyi siku moja mtakuja kukifanya.

Lkn haya yote hayana uhusiano wowote ule na wananchi bali kutengeza nafasi za Ulaji kwa Wanasiasa na ndo maana wanataka kuibadilisha, isitoshe referendum is very expensive, ni kama vile Kenya inafanya uchaguzi mwingine tu, na nina uhakika kama hata baada ya kuibadilisha tena na bado haitowaingiza watu madarakani wataikataa tena na tena na tena, mpaka iwafaidishe!
 
Haya ni matakwa ya Wanasiasa, lengo lao ni kutaka Katiba ambayo itawaingiza madarakani na siyo ya kuwasaidia Wananchi na ndo maana wanataka kuibadilisha, hata hii ya sasa waliipigania kwa lengo hilo sasa imeshindwa kuwaingiza madarakani wanataka kuibadilisha lkn mwisho wa siku mlengwa siyo Mwananchi, hivyo hata hapa TZ haitakuwa na tofauti!
We wasikiza comments za wanasiasa...raia ndo wenye basi km hujui...kunatakikana signature za watu 1ml ndio huo mswada upitishwe..sasa we jidanganye km wanasiasa ndo watabadilisha katiba
 
Lkn haya yote hayana uhusiano wowote ule na wananchi bali kutengeza nafasi za Ulaji kwa Wanasiasa na ndo maana wanataka kuibadilisha, isitoshe referendum is very expensive, ni kama vile Kenya inafanya uchaguzi mwingine tu, na nina uhakika kama hata baada ya kuibadilisha tena na bado haitowaingiza watu madarakani wataikataa tena na tena na tena, mpaka iwafaidishe!
Wakiitaka tena sisi tutaikataa
 
We wasikiza comments za wanasiasa...raia ndo wenye basi km hujui...kunatakikana signature za watu 1ml ndio huo mswada upitishwe..sasa we jidanganye km wanasiasa ndo watabadilisha katiba

Itapita tu kama Raila Odinga na Uhuru Kenya wakiwafwata watu wao Wakikuyu na Wajaluo wakawaambia wapige kura ya ndiyo watapiga, wakimwaambia hapana watapiga hapa, haijawahi kuwa tofauti!
 
Hakuna siasa ya refferendum..huaga ni comments tu katika siasa..another question
 
Lkn haya yote hayana uhusiano wowote ule na wananchi bali kutengeza nafasi za Ulaji kwa Wanasiasa na ndo maana wanataka kuibadilisha, isitoshe referendum is very expensive, ni kama vile Kenya inafanya uchaguzi mwingine tu, na nina uhakika kama hata baada ya kuibadilisha tena na bado haitowaingiza watu madarakani wataikataa tena na tena na tena, mpaka iwafaidishe!
Katiba inafanyiwa marekebisho ili County zipunguzwe na waakilishi kwenye bunge, seneti na bunge za county wapunguzwe pia. Inamaanisha tutakuwa tumebana matumizi kwa njia kubwa na pia mianya ya kuendeleza ufisadi itakuwa imezibwa. Nilidhani wewe ni 'great thinker' kumbe unakurupuka tu ovyo ovyo bila kufanya hata karisechi kadogo tu?
 
Nchi za kijinga kijinga ndizo zinazokurupuka na kutuhumu katiba. Watu wanaojielewa wanashugulikia matatizo ya msingi ya nchi yao. Katiba will never solve the problems kama hakuna utashi wa kweli kwa viongozi.
 
Endeleeni kujenga reli na pesa za ndani tu...ya kenya hamuyawezi...
 
Back
Top Bottom