Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
 
Yaani hapa nishakaa tayari kusubiri reality
Maana huongei bure. Kuna ishu inakuja najua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…