Haya wale tunaojua mpira vizuri Fundi Shekhan Rashid yupo live Sports Bar Clouds tv

Duuu inasikitisha sana kwa mchezaji aliyecheza kwa kiwango chake kuishia kunywa gongo
 
Huyu jamaa alikuwa fundi sana.
Alianza kucheza Simba akiwa na umri Mdogo.
Umenikumbusha Simba ya
1. Tanzania one Mohammed Mwameja
2. Kimti
3. Dua Saidi
Namkumbuka #
Shekhan Rashid ,mechi za umiseta kati ya Azania na Al haramain ,jamaa alikua al haramain ,si mchezo hiyo game ,uwanja wa shule sekondari Pugu, Azania Capt Shafih Dauda

Baadae tukakutana Friends na AFC OPEC. Mikocheni
 
Mwaka gani? Nakumbuka Nikiwa Pugu nilishuhudia fainali nzuri ya umiseta kanda ya mashariki kibasila ya Salvatory Edward ikiipiga jitegemee mgulani 2-0 na kubeba kombe
 
Sasa boss kwanini usiende kumchukua umweke nyumbani kwako unampenda halafu unaishia kusikitika tu hahahahahaha
 
Mwaka gani? Nakumbuka Nikiwa Pugu nilishuhudia fainali nzuri ya umiseta kanda ya mashariki kibasila ya Salvatory Edward ikiipiga jitegemee mgulani 2-0 na kubeba kombe
Ni kati ya 97 au 98 Mkuu, ilikua umiseta ilala ,kipindi hiko Temeke wako Ally Mayai,Renatus Njohole wakitokea Jitegemee
 
Shekhani ata uweke viungo kumi bora kabisa walio wahi kupita Simba hayumo. Achana na viungo walio wahi kupita Tanzania.
 
Shekhani ata uweke viungo kumi bora kabisa walio wahi kupita Simba hayumo. Achana na viungo walio wahi kupita Tanzania.

Umejifunza na umeanza Kufuatilia lini Mpira wa Miguu? Halafu naomba kujua umecheza Mpira wa Kiwango gani? Nataka nijue najibizana na Fundi wa Mpira au ' Mpuuzi ' fulani tu anayenipotezea muda wangu hapa Jamvini.
 
Si kulazimishi, Mtafute mwana Simba anaye ifahamu vizur Simba muulize Kama Shekhan Rashid anaweza kuwemo katika viungo borakabisa Kuwai kutokea Simba? Si zungumzii Timu ya taifa uko ata 50 bora simuoni.
 
Namkumbuka #
Shekhan Rashid ,mechi za umiseta kati ya Azania na Al haramain ,jamaa alikua al haramain ,si mchezo hiyo game ,uwanja wa shule sekondari Pugu, Azania Capt Shafih Dauda

Baadae tukakutana Friends na AFC OPEC. Mikocheni
Naikumbuka sana hio mechi , nilikuwa nasoma Primary ila jamaa zangu walikuwa Aza boy ndio nikaenda nao Pugu
 
Huyo alikuja baadae kabisa Mkuu au umesahau tena! Unaniangusha bhana kwani hizi Kumbukumbu ukiwa mwana Simba Sports Club wa Kindakindaki huwezi ukazisahau mapema yote hii. Mtafute mwana Simba SC yoyote atakukumbusha zadi juu ya hili tafadhali.
Mark Sirengo alitangulia Simba kabla ya Ulimboka Mwakingwe , ingawa nae alicheza kwa mda mfupi sana
 
viuongo bora muda wote ni Shekhan rashid na Ramadhan chombo redondo,,
Hakika soka la bongo linazidi kuua vipaji shekhan rashid alikua na kiwango cha kucheza psg,madrid,,lkn wapi,,
 
Hahahhahahhaa umenifurahisha sana mkuu hahahha
 
Shekhani ata uweke viungo kumi bora kabisa walio wahi kupita Simba hayumo. Achana na viungo walio wahi kupita Tanzania.
Haaaa haaa huwez kuwa unamjua vzr shekhan rashid wewe, jamaa alikua anaujua sana mpira kimsingi alikua na kipaji kikubwa sana japo hakua mpenda mazoezi. Mwaka 2000 na 2001 alikuja Mji mpwapwa na Mimi nilikua hapo. Jamaa ni fundi haswaa. Ni moja ya viungo bora kbs kutokea hapa tz
 
Nitajie kwann Rashid aliaxhuka parformance yake n kuachwa n simba Nitajie nikupe ela y vocha
 
Nitajie kwann Rashid aliaxhuka parformance yake n kuachwa n simba Nitajie nikupe ela y vocha

Kama sitaki Hela ya Vocha na nataka ' Kiungo ' chako ' Kitamu ' unachokimiliki utakuwa tayari kunipa ili nikupe hizo sababu?
 
Ngoja nikusaidie mweu ww ilikuwa Mechi ya mikoa jamaa alikuwa anachezea mzizima ambayo kwa Sasa ndio dar aliumia vibaya sana enka y Mguu w kushoto ndio ilimpoteza kweny soka l ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…