naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Dah hizi dharau kubwa sana kwa Hamis Gaga,Ramadhan Lenny,Michael Paul,Hassan Afif nkviuongo bora muda wote ni Shekhan rashid na Ramadhan chombo redondo,,
Hakika soka la bongo linazidi kuua vipaji shekhan rashid alikua na kiwango cha kucheza psg,madrid,,lkn wapi,,