Haya wale tunaojua mpira vizuri Fundi Shekhan Rashid yupo live Sports Bar Clouds tv

Haya wale tunaojua mpira vizuri Fundi Shekhan Rashid yupo live Sports Bar Clouds tv

viuongo bora muda wote ni Shekhan rashid na Ramadhan chombo redondo,,
Hakika soka la bongo linazidi kuua vipaji shekhan rashid alikua na kiwango cha kucheza psg,madrid,,lkn wapi,,
Dah hizi dharau kubwa sana kwa Hamis Gaga,Ramadhan Lenny,Michael Paul,Hassan Afif nk
 
Ngoja nikusaidie mweu ww ilikuwa Mechi ya mikoa jamaa alikuwa anachezea mzizima ambayo kwa Sasa ndio dar aliumia vibaya sana enka y Mguu w kushoto ndio ilimpoteza kweny soka l ushindani
Umemnukuu nani mkuu?
 
Haaaa haaa huwez kuwa unamjua vzr shekhan rashid wewe, jamaa alikua anaujua sana mpira kimsingi alikua na kipaji kikubwa sana japo hakua mpenda mazoezi. Mwaka 2000 na 2001 alikuja Mji mpwapwa na Mimi nilikua hapo. Jamaa ni fundi haswaa. Ni moja ya viungo bora kbs kutokea hapa tz
Shekhan alikuja Mji Mpwapwa 1999 akacheza ligi daraja la pili, kwa sasa ndio ligi daraja la kwanza, baada ya ligi kuisha akacheza mto Singida mechi za kumbe la hedex Kassim Dewji akamuona Singida vs Simba akamfanyia mpango akampeleka nje ya nchi hio sasa 2000
 
Ngoja nikusaidie mweu ww ilikuwa Mechi ya mikoa jamaa alikuwa anachezea mzizima ambayo kwa Sasa ndio dar aliumia vibaya sana enka y Mguu w kushoto ndio ilimpoteza kweny soka l ushindani
Upo sawa kabisa, kombe la Mzizima lile ndio alivunjika mguu na alikaa nje wa uwanja zaidi ya mwaka
 
Back
Top Bottom