Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,259 Reaction score 1,056 Aug 29, 2022 #81 Mgagaa na Upwa said: Sasa sisi wazee wa B hali si ndio itakua mbaya sana [emoji23] Click to expand... Hakuna hali mbaya, kwani shida ipo wapi kama mashine iko fresh tu? Wewe dunda nalo tu. Nimepishana na mdosi mmoja ana Toyota Surf namba ni ARC akiwa maeneo ya Uhindini hapa Mbeya. Ile surf ni mpya sana hata akiivisha namba F inapokea
Mgagaa na Upwa said: Sasa sisi wazee wa B hali si ndio itakua mbaya sana [emoji23] Click to expand... Hakuna hali mbaya, kwani shida ipo wapi kama mashine iko fresh tu? Wewe dunda nalo tu. Nimepishana na mdosi mmoja ana Toyota Surf namba ni ARC akiwa maeneo ya Uhindini hapa Mbeya. Ile surf ni mpya sana hata akiivisha namba F inapokea