Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Hakuna hali mbaya, kwani shida ipo wapi kama mashine iko fresh tu? Wewe dunda nalo tu. Nimepishana na mdosi mmoja ana Toyota Surf namba ni ARC akiwa maeneo ya Uhindini hapa Mbeya. Ile surf ni mpya sana hata akiivisha namba F inapokeaSasa sisi wazee wa B hali si ndio itakua mbaya sana [emoji23]