Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Tukae humo
20220822_180509.jpg
 
Kwamba makapuku wasio na magari huwa wanahaika na plate no Ila wenye magari wametulia tuli.Nmeshangaa mfanyakazi wangu nae kaweka status hizo plate no huku akisema mambo ni fire.Hii dunia Ni ngumu.
Aaaaaaah aaaaah kwani wee ni muhenga mzee wangu??
 
Hivi ukiagiza gari ya mwaka 1999 na yenyewe si inawekwa na namba E kama wa gari ya mwaka 2022
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom