Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Kuna watu wana BP na bado kali
Hzo gari za namba B ambazo kali ni zile za juu nying cruiser na min SUV chache ka RAV4 na ESCUDO

Ila kwa utunzaji wa magari wa kibongo wa bila service za kueleweka namba B nying zina hali mbaya kuanzia bodi hadi injini na sio B tu had D za mwanzon..

Kwa hyo tuache stori za gari sio namba labda Japan huko ila sio bongo hapa kwa wazee wa SAE 40
 
Ndiyo. Hatuangalii gari imetengenwzwa lini, bali imesajiliwa lini. Huu ni usajili wa gari.


Jesus is Lord
Ata iwe na ndinga kalu kivip ila kama plate no ya zamani basi ujue iyo ni miyeyusho mnunua hatonunu mfano no A automaticak beo yake sasa ivi itachezea kwenye 500000 mpaka milion haitoweza kuzidi apo
 
Mzigo tayari hii ni ni 22/08/2022 mzigo tayari uko mtaani kazi ni juu yako wewe mwenzangu na mimi wale wa no c uzen magari yenu mapema maana yanaenda kushuka thamani kwa kiwango cha ajabu

Haya wale wa kuvuta mchuma December kazi kwenu

Mzigo huu hqpa


View attachment 2331422View attachment 2331423
Moods, badili title ya huu uzi usomeke, 'Tuliosubiri No E, tukutane hapa'!
 
Kwamba makapuku wasio na magari huwa wanahaika na plate no Ila wenye magari wametulia tuli.Nmeshangaa mfanyakazi wangu nae kaweka status hizo plate no huku akisema mambo ni fire.Hii dunia Ni ngumu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom