Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

Kuna jamaa juzi nilikua namsikiliza anabishana na mwanae jamaa ni dalalai, anamwambia sikuhizi gari ni body sio engine. Engine si unavua unaweka ingine ila kama body bovu huuzi gari hio😂😂😂! Kimsingi niliona ana point
Hzo gari za namba B ambazo kali ni zile za juu nying cruiser na min SUV chache ka RAV4 na ESCUDO

Ila kwa utunzaji wa magari wa kibongo wa bila service za kueleweka namba B nying zina hali mbaya kuanzia bodi hadi injini na sio B tu had D za mwanzon..

Kwa hyo tuache stori za gari sio namba labda Japan huko ila sio bongo hapa kwa wazee wa SAE 40
 
Kuna jamaa juzi nilikua namsikiliza anabishana na mwanae jamaa ni dalalai, anamwambia sikuhizi gari ni body sio engine. Engine si unavua unaweka ingine ila kama body bovu huuzi gari hio😂😂😂! Kimsingi niliona ana point
Point kubwa sana. Bei ya engine Toyotas 1m-3m tu sasa ukikuta gari body kinanda engine imekufa si unanunua nyingine unakuwa na gari bomba kabisa! Sasa wewe uwe na engine kali body huna utaweza kununua body nzima? Taa tu set ya gari nzima inazidi 1m
 
Eeh sikuhizi body ndio cha msingi😂😂😂
 
Lakini point ya msingi anaenunua gari kwa namba hana hela ya kuagiza au kwenda showroom....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaaa ....heeeaaaarrddd
Wewe mwenyew gari ambayo ni plate no A huwezi kununua ata kama engine itakuwa piruu kwa kiasi gani mzee wangu ni lazima utatafuta gari yenye no plateza ivi karibuni mfano no D au no E
 
Siku hizi kinachomata zaidi ni body mzee wangu watu wanaaangalia mngao wa body na no plate
Hahahahah hata namba sio ishu, si unaenda ku renew kibao tu kwa wale jamaa. Elf 17 yako tu kinachongwa kipya
 
Wewe mwenyew gari ambayo ni plate no A huwezi kununua ata kama engine itakuwa piruu kwa kiasi gani mzee wangu ni lazima utatafuta gari yenye no plateza ivi karibuni mfano no D au no E
Mzee mimi naagiza vyuma toka Japenga..mambo ya plate number ni kipindi nastruggle kupata chuma ya kwqnza...😂😂😂😂
 
Kumbuka kuikatia bima!

Screenshot_20220829-151550_Tiramis.jpg
 
Tupo tuna gari zetu namba B tunapiga league tu na hao wa D na E zao. Nimetoka Dar hadi Mbeya na Corolla yangu 110, sina shida mie. Na alhamisi hii napindua tena Dar
Screenshot_2022-08-29-13-21-35-30_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Back
Top Bottom