Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wapi mwinjilisti Filipo?
Kima Mchanga ubarikiwe saaaaana.
Na ninavyopenda kuimba . . . nimeimbaje kwa sautiiiiiiii!!!
Asante mpenzi.
I miss my lovely wife Zion Daughter wher are you??
Mpenzi nipigie.Nakupenda sana!
Moja mbili, tatu tuimbe.....
1.Pana jito lina maji mazuri, yaenda ulimwenguni.
Lameta meta nalo linang'aa, walijua jito hilo?
CHORUS
Ninakuita nawe njoo
Utafute jito hilo
Maji yake yapooza moyo.
Nawe yateke unywe.
2. Wanywayo maji haya wafurahi, waimba kwa shangwe kubwa
Makosa na shida yanaondoshwa, wote waoshwa na BWANA.
3. Jito hili latoa maji mengi, matamu yapendezayo.
Yaponya wagonjwa yatia nguvu, uchafu watakasika.
4. Maji ya jito hilo ni uzima,unaotoka kwa YESU.
Damu yake yenye kiasi kikuu, imemwagwa tusafike.
Endelea kupata baraka za uimbaji Preta
Ameen Mpenda Yesu.
Basi na tuendelee kupata barak za bwana katika uombaji
HAYA EE MOYO WANGU.
1.Haya ee moyo wangu, imba kwa furaha
Umwimbie muumbaji, mbingu na dunia
Atukuzwaye pote umsifu na wewe
Kwa nguvu zako zoote umri wako wote
2.Mungu wake Yakobo ndiye Mungu wetu.
Ukimchagua yeye, una fungu jema.
Unacho ktu chema, umepata mali.
Moyo utakung'aa, shida zitakwisha.
3.Ni mwenye nguvu nyingi, hana amshindaye.
Kwa hekima, aumba, vyote ni vya ajabu.
Misitu na mabonde, milima na mashamba.
Vilivyo baharini, wanyma porini
4.Ana mizungu mingi, kuponya wanawe,
Anawapa riziki, hata siku za njaa.
Wenye chakula haba, wanenepa miili
Hata waliofungwa, anawafungua.
5.Mashangilio yote, hayamtoshi yeye.
Ni mwema peke yake, nami ni vumbi tu
Ananihurumia, kwa kuwa ni wake.
Kwa hiyo nalikuza jina lake pote
amen amen amen
Amen,barikiwa pia Rich woman.
Aimeen!
Matola njoo uone upako unavoshuka hukuuuu!Ameeeeen
hapa ukimkuta black ameriaca wa kike anavoivuta.....hahahaPraaaaaaaaaraise the Lord!!!!