GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Lete habari...Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.ete m
Lete habari...
CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez aula CAF kwa Cheo Kikubwa kama Mwanamke wa Kwanza na pia kutokea Tanzania.Lete habari...
Cheo Kikubwa sana Mkuu ambacho naogopa hata Kukitaja hapa kwani Watu wa Yanga SC wataitisha Maandamano na Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) nae kwa Aibu na kuzidiwa mbali na huyu Mwanamke atajisikia Aibu na kuomba Kujiuzuru kabisa.GENTAMYCINE hujasema cheo gani CEO wetu amepata
Kweli tule mtori nyama tutazikuta chini.CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez aula CAF kwa Cheo Kikubwa kama Mwanamke wa Kwanza na pia kutokea Tanzania.
Ukiwa Simba SC Dunia itakutambua tu kwani ndiyo Timu pekee yenye Mashabiki Werevu na Wasomi Tanzania nzima.
Leo mtasema yote tu Kudadadeki zenu.CAF wamechagua demu kubalance equation tu tena ni mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!
Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tu kukutana mara tatu kwa mwaka!
Yanga daima mbele
Ashukru umemjibu kwa adabuLeo mtasema yote tu Kudadadeki zenu.
Kwani matusi shingapi?Ashukru umemjibu kwa adabu
Barbara huyu huyu unayemponda hapa jukwaani kwamba hafai na anaiharibu Simba?Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Mbona yanakushinda mno Kuyakabili?Kwani matusi shingapi?
Huyu ni kichaa mkuu, usimchukulie serious.Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022
Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...www.jamiiforums.com