Akili nyingine bwana!Big up Senzo Kwa pande muruuua Kwa Motsepe, kinachofuatia ni safari za mara Kwa mara za vikao vya Caf Tena inaweza kua nje ya Africa. Maana Senzo alicho mwambia mshakajiwake kuwa yule udhaifu wake anapenda Publicity Sasa tuanze na Chambo kikubwa.
Hongera Makamu Rais wa kamati ya mashindano ya Caf, CEO mkali Kwa sura na umbo. Unastahili kula mema ya nchi wewe ni mwanamke kijana, Nenda kale Bata.