Haya wana Yanga SC kaandamaneni CAF kwani CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez 'aula' huko

Huyu aliyeanzisha huu Uzi ndiyo MImi?
 
Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika

Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?

Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Wewe ndo yule jamaa uliyesema una followers 117 kwenye greater thinkers!!! Hakiyamunguuuuuu!!!
 
Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika

Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?

Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Mi sijawahi kukuelewa mwamba!! Yaani una thread flani za umbea,,,
 
Cheo Kikubwa sana Mkuu ambacho naogopa hata Kukitaja hapa kwani Watu wa Yanga SC wataitisha Maandamano na Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) nae kwa Aibu na kuzidiwa mbali na huyu Mwanamke atajisikia Aibu na kuomba Kujiuzuru kabisa.
dahh we jamaaa[emoji23][emoji23][emoji23] unaofia usalama wako endapo utaiktaja
 
Nasikia manara kapewa lesen ya kunywa gongo cuf ya lipumba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
CAF wamechagua demu kubalance Beijing gender balance equation tu kumuenzi bibi yetu Queen Elizabeth II aliepandisha bus Marais 65 weusi tena wamechagua mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!

Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu kuisha bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tunajua kamati kukutana huwa mara tatu kwa mwaka! Eng Hersi tunataka apige hesabu Urais wa CAF au FIFA baada ya kuchukua Ndoo ya CAF kamati kitu gani!

Yanga daima mbele
Duuuuh daaaaah!!!!
 
Hakuna uhusiano wowote wa barbara na eti simba kuwa ni timu kubwa

Ina ukubwa gani?
Labda ungesema jina kubwa
Ukubwa huo katika nini?juzi hapa chupuchupu kupoteza kwa Kmc bila juhudi za mwamuzi mlikua mmelala

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Aisee..Kwahivyo Manchester United kupoteza dhidi ya Brighton kunaondoa ule ukubwa wake kama timu.

Kama ambavyo Simba SC alivyoponea chupu chupu kama unavyodai dhidi ya KMC FC ule ukubwa wake unaondoka..?!
 
Moja kati ya mizigo aliyonayo mama ni pamoja na kuwa na watu wanaojiita mashabiki wa Simba katika ardhi ya Tz.

Mwaka 2015 vipaumbele vitatu vya Lowassa vilikua ni Elimu, Elimu Elimu. Tunaomba mama atusaidie kwa hili kuna wajinga wengi hapa wanajiita wasomi. Ni wananchi ndio tunapata tabu
 
CAF wamechagua demu kubalance Beijing gender balance equation tu kumuenzi bibi yetu Queen Elizabeth II aliepandisha bus Marais 65 weusi tena wamechagua mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!

Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu kuisha bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tunajua kamati kukutana huwa mara tatu kwa mwaka! Eng Hersi tunataka apige hesabu Urais wa CAF au FIFA baada ya kuchukua Ndoo ya CAF kamati kitu gani!

Yanga daima mbele
Huyo demu kaonekana Simba tu, au hujui hata AS VITA wana CEO mwanamke tena mwenye uhawishi tu?
 
Back
Top Bottom