Haya wana Yanga SC kaandamaneni CAF kwani CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez 'aula' huko

Haya wana Yanga SC kaandamaneni CAF kwani CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez 'aula' huko

Big up Senzo Kwa pande muruuua Kwa Motsepe, kinachofuatia ni safari za mara Kwa mara za vikao vya Caf Tena inaweza kua nje ya Africa. Maana Senzo alicho mwambia mshakajiwake kuwa yule udhaifu wake anapenda Publicity Sasa tuanze na Chambo kikubwa.
Hongera Makamu Rais wa kamati ya mashindano ya Caf, CEO mkali Kwa sura na umbo. Unastahili kula mema ya nchi wewe ni mwanamke kijana, Nenda kale Bata.
Akili nyingine bwana!
 
Hakuna uhusiano wowote wa barbara na eti simba kuwa ni timu kubwa

Ina ukubwa gani?
Labda ungesema jina kubwa
Ukubwa huo katika nini?juzi hapa chupuchupu kupoteza kwa Kmc bila juhudi za mwamuzi mlikua mmelala

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Kwani yanga na azam ipi kubwa???kupata sare au kufungwa ni mchezo tu hujawahi skia ahly analimwa na kina future huko kama kasimama
 
Moja kati ya mizigo aliyonayo mama ni pamoja na kuwa na watu wanaojiita mashabiki wa Simba katika ardhi ya Tz.

Mwaka 2015 vipaumbele vitatu vya Lowassa vilikua ni Elimu, Elimu Elimu. Tunaomba mama atusaidie kwa hili kuna wajinga wengi hapa wanajiita wasomi. Ni wananchi ndio tunapata tabu

Mashabiki wa yanga mwenye akili ni mzee manara na kikwete tu wengine wote ni hamnazo:MANARA
 
Babra ni mzuri sana ila tako hana huwa inanisikitisha sana....
 
Back
Top Bottom