GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Huyu aliyeanzisha huu Uzi ndiyo MImi?Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022
Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...www.jamiiforums.com
Wewe ndo yule jamaa uliyesema una followers 117 kwenye greater thinkers!!! Hakiyamunguuuuuu!!!Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Mi sijawahi kukuelewa mwamba!! Yaani una thread flani za umbea,,,Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
nani anapelekwa Mirembe?Huyu ni kichaa mkuu, usimchukulie serious.
Tiba afungwe Kamba Kwa lazima apelekwe kupata matibabu.
dahh we jamaaa[emoji23][emoji23][emoji23] unaofia usalama wako endapo utaiktajaCheo Kikubwa sana Mkuu ambacho naogopa hata Kukitaja hapa kwani Watu wa Yanga SC wataitisha Maandamano na Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) nae kwa Aibu na kuzidiwa mbali na huyu Mwanamke atajisikia Aibu na kuomba Kujiuzuru kabisa.
Duuuuh daaaaah!!!!CAF wamechagua demu kubalance Beijing gender balance equation tu kumuenzi bibi yetu Queen Elizabeth II aliepandisha bus Marais 65 weusi tena wamechagua mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!
Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu kuisha bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tunajua kamati kukutana huwa mara tatu kwa mwaka! Eng Hersi tunataka apige hesabu Urais wa CAF au FIFA baada ya kuchukua Ndoo ya CAF kamati kitu gani!
Yanga daima mbele
Yale maswali wiki ameyajibu?Mbona yanakushinda mno Kuyakabili?
Aisee..Kwahivyo Manchester United kupoteza dhidi ya Brighton kunaondoa ule ukubwa wake kama timu.Hakuna uhusiano wowote wa barbara na eti simba kuwa ni timu kubwa
Ina ukubwa gani?
Labda ungesema jina kubwa
Ukubwa huo katika nini?juzi hapa chupuchupu kupoteza kwa Kmc bila juhudi za mwamuzi mlikua mmelala
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kama vile nakuona unavyotoka povuUteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba
SawaHakuna uhusiano wowote wa barbara na eti simba kuwa ni timu kubwa
ila haka ka babra kuna kiongozi huko caf anakatafuna.
Huyo demu kaonekana Simba tu, au hujui hata AS VITA wana CEO mwanamke tena mwenye uhawishi tu?CAF wamechagua demu kubalance Beijing gender balance equation tu kumuenzi bibi yetu Queen Elizabeth II aliepandisha bus Marais 65 weusi tena wamechagua mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!
Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu kuisha bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tunajua kamati kukutana huwa mara tatu kwa mwaka! Eng Hersi tunataka apige hesabu Urais wa CAF au FIFA baada ya kuchukua Ndoo ya CAF kamati kitu gani!
Yanga daima mbele
Ila we jamaa ni Bumunda aiseeh, unajua hata kinachozungumziwa?Said Elimaamly amekuwa mjumbe wa CAF miaka nenda rudi, sijui Simba kuna tatizo gani vichwani mwenu?