Haya Wanayanga tutabiri matokeo ya leo

Haya Wanayanga tutabiri matokeo ya leo

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanacheza mechi kubwa. Kulingana na rekodi zao na wapinzani wao.

Je, unadhani nani atachomeka au kuchomoa?
 
Kwanini tutabiri wakati mechi itachezwa masaa machache kutoka sasa.

Ila Al hilal anapigwa kama ngoma leo 🥁🥁🥁🥁
 
Nimejaribu tu kufikiria hii mechi binafsi matokeo nayaona magumu sana, ila timu mojawapo lazima ilie.
 
Mi nimempa Al hilal anashinda au ana draw nikaweka stack ya 100k.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom