GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi na kwa wale ambao miaka ya 70 walikuwepo Dar es Salaam na Hospitali zilikuwa mbili tu za Ocean Road na Muhimbili ila ya Agha Khan haikuwepo kama ambavyo Wewe Mwenzetu uliyezaliwa Dar es Salaam na Mjanja kuliko Watu wote Tanzania ulituambia?Kwa wahamiaji Biden na Democrats kwa ujumla ndio the Best.
Ila kuna matutusa yanajiona ni Wamarekani tayari hao ndio utasikia wanamtaka Trump.