GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 19, 2024 #1 GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 19, 2024 #2 Kwa wahamiaji Biden na Democrats kwa ujumla ndio the Best. Ila kuna matutusa yanajiona ni Wamarekani tayari hao ndio utasikia wanamtaka Trump.
Kwa wahamiaji Biden na Democrats kwa ujumla ndio the Best. Ila kuna matutusa yanajiona ni Wamarekani tayari hao ndio utasikia wanamtaka Trump.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 19, 2024 Thread starter #3 Dr Matola PhD said: Kwa wahamiaji Biden na Democrats kwa ujumla ndio the Best. Ila kuna matutusa yanajiona ni Wamarekani tayari hao ndio utasikia wanamtaka Trump. Click to expand... Vipi na kwa wale ambao miaka ya 70 walikuwepo Dar es Salaam na Hospitali zilikuwa mbili tu za Ocean Road na Muhimbili ila ya Agha Khan haikuwepo kama ambavyo Wewe Mwenzetu uliyezaliwa Dar es Salaam na Mjanja kuliko Watu wote Tanzania ulituambia?
Dr Matola PhD said: Kwa wahamiaji Biden na Democrats kwa ujumla ndio the Best. Ila kuna matutusa yanajiona ni Wamarekani tayari hao ndio utasikia wanamtaka Trump. Click to expand... Vipi na kwa wale ambao miaka ya 70 walikuwepo Dar es Salaam na Hospitali zilikuwa mbili tu za Ocean Road na Muhimbili ila ya Agha Khan haikuwepo kama ambavyo Wewe Mwenzetu uliyezaliwa Dar es Salaam na Mjanja kuliko Watu wote Tanzania ulituambia?