Haya Watz mambo ya kukohoa kohoa kila mwanamke akipita, unatiwa lockup

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Dah ila hii ikija Kenya itabidi magereza yaongezwe majengo maana ndio zao vijana, nakumbuka enzi zetu kila demu mkali akipita kama tulikua tunaongea, yaani sote tunapoteza network na kuvurugwa akili.
Sasa kwa Watanzania ni kosa la jinai, hamna cha catcalls wala nini, unakausha na kujifanya hujamuona huyo msupa anayepita, mambo ya kukohoa kohoa nenda ukakoholee ndani kwako.

Mtafungwa nyote hadi mkome pambavuuuu....hehehe

https://www.kahawatungu.com/wp-content/uploads/2018/05/WhatsApp-Video-2018-05-15-at-12.13.26.mp4?_=2
 

Attachments

Uiii and i was almost cat calling a yellow yellow girl hapo A town now i knw
 
Mod kwani neno 'una.tiwa' lockup lina nini hadi mumelifanyia masking kwenye kichwa cha huu uzi, sio kila kitu kinahusu mambo yale jameni, hilo ni neno la kiswahili.

Hahaha, hivi hili swali unatania au? nadhani Mod watakuwa hawana mbavu huko duh.
 
Haiwezi kuwezekana. hii nayo italeta frivolous cases nyingi
 
Mod kwani neno 'una.tiwa' lockup lina nini hadi mumelifanyia masking kwenye kichwa cha huu uzi, sio kila kitu kinahusu mambo yale jameni, hilo ni neno la kiswahili.
Umejuaje km ni mods?? Yawezakuwa ni mleta mada mwenyewe, ndo kaweka nyota nyota.

Je wanaume wenye makalio makubwa ambao wakipita na wanawake pia baadhi ya wanaume hukohoa kohoa pia??

Vp wanawake wakikohoa kohoa wanapopita wanaume pia??

Waondoe ujinga wao wa kutafuta kiki
 
Uiii and i was almost cat calling a yellow yellow girl hapo A town now i knw
Yellow girl ndio color ya huyo msupa au, alafu hiyo sheria isiwatishe sana, amesema usikohoe, cough, cat calling is calling, it's ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…