MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Dah ila hii ikija Kenya itabidi magereza yaongezwe majengo maana ndio zao vijana, nakumbuka enzi zetu kila demu mkali akipita kama tulikua tunaongea, yaani sote tunapoteza network na kuvurugwa akili.
Sasa kwa Watanzania ni kosa la jinai, hamna cha catcalls wala nini, unakausha na kujifanya hujamuona huyo msupa anayepita, mambo ya kukohoa kohoa nenda ukakoholee ndani kwako.
Mtafungwa nyote hadi mkome pambavuuuu....hehehe
https://www.kahawatungu.com/wp-content/uploads/2018/05/WhatsApp-Video-2018-05-15-at-12.13.26.mp4?_=2