njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
unaona hadi topo topolo lime like jibu lako kwangu jiulize sana narudia jiulize sana, nani anaonaga mazoezi ya yanga? hujui kwamba kwa aliyehudhuria mazoezi ya simba siku mbili za mwisho kama ni mtaalamu alishajua kikosi kikoje?Acheni hizi imani zenu potofu, kama kweli walituibia mbinu mbona kipindi cha kwanza tulicheza Simba SC na goli tukapata?
Tujifunze kukubali matokeo, hata wakifanyia mazoezi mwezini ukizidiwa mbinu na mwenzako utapigwa tu.
leo na kesho kuna mazoezi na sababu ni ya wazi geita gold watakuwepo unadhani msoma mbinu mzuri hatajua kikosi kitakuwa kipi na kitachezaje?
Hivi mazoezi ya arsenal na man utd huwa yanahudhuriwa waziwazi hivyo?na hizo mbinu kuzidiwa haziwezi zikawa zimeonekana hukokwenye mazoeziya wazi?