Haya ya kufanyiwa kazi haraka Simba SC kabla ya kuanza Ligi Kuu na michuano ya CAF

Simba ni timu mbovu na dhaifu kuanzia kocha mkuu wachezaji na viongozi hawana mbinu bora kwasasa mtauana bure tu. Hii inaitwa kidhungu Rise and Fall theory, Simba ilifika Peak sasa inashuka mashabiki wa Simba muwe wapole this is Yanga moment!! Tulieni sindano na dawa viingie vizuri tuwapasue kila mechi mpaka mkiri kuwa "Mayele hakuna beki wa kumkaba Tanzania "

msisahau asiyekubali kushindwa si mshindani! !!@
 
Kesho Geita anakufa 3
1-Beno
2-kapombe
3-Zimbwe
4-Onyango
5-Outtara
6-mkude
7-Sakho
8-kanoute
9-Dejan
10-Chama
11-Okrah
 
Kapombe ni versatile toka muda mrefu hivyo hakukuwa na kutengeneza chochote pale
Sijajua unabisha au unakubali. Kitendo cha kocha kuona kuwa timu yangu ina mapungufu fulani na mchezaji wangu fulani nikimuhamisha nikampa haya majukumu mapya na akayaweza basi huyo kocha ni mtaalamu hasa. Na kutengenezwa sijui wewe umetafsiri vipi kwa upeo wako. Kwangu mimi kutengenezwa maana yake ni kumpa mchezaji majukumu mapya uwanjani halafu unamjaribu kwenye viwanja vya mazoezi au mechi za kirafiki huku unampa maelekezo mbali mbali ni kwa namna gani wewe kocha unataka acheze ili akupe kile ambacho kinashindikana kwa "regular players" wa kila siku wa hiyo nafasi. Na ndicho kitu alikifanya Lentchantre kwa Kapombe. Kwa wanaomjua Kapombe muda mrefu ni "regular player" kwa nafasi ya beki wa pembeni au beki wa kati. Lakini Lentchantre alienda mbali zaidi kumtengeneza acheze namba 6 na wakati mwingine namba 8 ili apte matokeo anayoyahitaji kama kocha.
 
Banda
Bocco
Mzamiru
Nyoni
Mkude
Kakolanya
Mhilu
Hawawezi tufikisha popote pale
 
Hapo kwa Akpan ndipo namlaumu kocha, naamini Akpan anaweza kucheza vizuri zaidi ya Mkude akiaminiwa na kupewa nafasi, kama kocha anampa nafasi mzungu wake anayeharibu kila siku, kwanini hampi Akpan tumuone?

Naamini muda unavyokwenda atamzoea Akpan na kuuona ubora wake.
 
Hapa ajabu naona wengine wanamlaumu mpaka Inonga kama vile yeye ndie chanzo cha yale magoli tuliyofungwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…